Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

PSL god

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
12,575
Reaction score
9,151
Za ijumaa wakuu,

Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe

Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au urafiki wa karibu na wanawake ukitoa ndugu zangu wa kike tu sina contact au mawasiliano yeyote yale mengine na mwanamke

Pili, sijazoea ku date au kuwa kwenye mahusiano yenye commitment maana sex napata muda wowote ule ninaotaka ndo maana nimeamua kufanya vitu vingine duniani hivyo sina hata mchecheto wa kumtongoza mwanamke maana sina njaa ya sex, mapenzi au mahusiano

Tatu, hayo mambo hapo juu ndio yananitatiza sana maana na mimi nataka niitwe baba fulani lakini niko hola.

Naombeni mnishauri nifanye nn ili niweze kumpata mwanamke nimshawishi anizalie au nitumie mbinu gani ya kumnasa mwanamke ili aweze kuzaa na mimi lakini nisimuoe tulee mtoto tu

N.B nachukia online dating au relationships maana unachoagiza sio unachopokea(i.e utapeli ni mwingi)
Pia mtoto atakuwa 100% mali yangu na hamu na mtoto

Liverpool VPN dronedrake toeni ushauri
 
Back
Top Bottom