Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,144
Very interesting. Huyu jamaa anatutania kwakweli.Interesting
kuna siku huyo dada atavua na nguo na utakuja kutuomba ushauri humu
Very interesting. Huyu jamaa anatutania kwakweli.Interesting
kuna siku huyo dada atavua na nguo na utakuja kutuomba ushauri humu
Labda zina ukungu.Wewe tu unakua mzito kusoma picha
Au kavaa miwani ya mbaoLabda zina ukungu.
Yote yanawezekanaAu kavaa miwani ya mbao
Interesting
kuna siku huyo dada atavua na nguo na utakuja kutuomba ushauri humu
We jamaa uko kwenye kiwango kama messi, uo ndo ushauri sasaMthibitishie kwamba you love her so much( actions)
Usiwe na haraka, wanawake wengine hawataki pupa, kwa sababu ukija pupa wenzake wanamwambia atakuchezea.
Maanisha basi kwamba you belong to her, sasa me nakushauri akija awe anapika kabisa.
Soon utapata matokeo. But kama humaanishi au hujamhakikishia, Bro atakukimbia.
But I can see msichana anakupenda, bado anakusanya ushahidi wa maneno yako
Heshima yako bro, hivi hilo jina ndo la kwako halis halis kabsa!!?Ni kweli m baby akishakuja home kashajiandaa kuliwa sasa huyu jamaa yeye sijui atakuwa anampigisha story za enzi hizo shuleni.. Hahaha

Yap ndo Mimi mkuu. Hill ni jina langu kabisaHeshima yako bro, hivi hilo jina ndo la kwako halis halis kabsa!!?
Nauliza kiroho safi tuu![]()