Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?

View: https://vm.tiktok.com/ZMSdbPEAk/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok

Mwache ale. Shida nyie wafuasi wa hizi dini msio na shule ni vilaza sana. Wenye imani yao imeanza tangu Yesu alipoacha miaka 2025 iliyopita mna shida sana.
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?

View: https://vm.tiktok.com/ZMSdom8Ss/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.

Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.

Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.

Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mkuu nipe namba yake Mimi ni balozi wa Mbuzi wa Kigango au Noah si unaona profile yangu ataacha tu tukimuwahi😂😂
 
Ha ha ha nawewe bila shaka ushalishwa zile steki steki bila kujua anakulisha kimahaba.......anywei kuna vitu ni ngumu kuacha hata jamaa yangu mkewe aliahidi kuacha Pombe,baada ya Ndoa kama miezi 6 akaanza kumuomba mumewe angalau moja per day 🙁........saizi fridge linapendeza kabisa na jamaa hakuwa anakunywa saizi wote walevi
😅🤣😂 Mzee alikuwa hali kitimoto na sisi tunakuwa tunakuta Hali ila ikawa Mama akipika anchagua steak ambayo Haina mafuta kabisa anaekewa kwenye mboga za majani.
Sasa hivi amezeeka ila ni mpigaji mzuri wa mdudu.
JamiiForums1447323570.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom