Habari gani bhanaaa..
Natumai mu wazima wa afya..
Ninaomba ushauri wenu wa jambo gani natakiwa nifanye wakati nasubiria kwenda chuo..
Kwa sasa ninamalizia ka-contract kangu hapa jijini mwisho wa mwezi huu itakuwa mwisho. Ila natakiwa kwenda chuo (for masters) September katikati.
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ya nifanye kitu gani wakati huu ninaosubiria kurudi shule?
maana siwezi kutafuta kazi kwa mwezi na nusu..nami sitaki kukaa tu nyumbani!
Hapa nilipopata contract wapo tayari kuniweka mpaka september ila kwa alllowance not mshahara anymore,
ila ndo hivyo hakutakuwa na kitu cha ku-utilize knowledge yangu anymore.
I am a computer science graduate, in Software Engineering.
Natanguliza shukrani...
kweli elimu yetu haijengi! Imagine mtu ni graduate wa Computer Engineer, hana chakufanya!
Rejao,
I din't exactly mean kukosa kazi ya kufanya. Namaanisha kitu cha kuniingizia kipato kwani kama ni kazi tu ya kunikeep busy ninazo nyingi.
Ila pia nimeleta hapa nipate mawazo mengine ya nyongeza labda muda huu unaweza kufanya kitu gani kingine cha ziada.
Njo mpwapwa tuwe tunapiga stori.
hahahahaha! Mi nataka aje mpwapwa apate mambo mazuri ye hataki.hus, unataka kum-bemenda mtoto wa watu sasa! babu huwa anatetea wajukuu wa ME ama ni wa KE alone?
Njo mpwapwa tuwe tunapiga stori.
kweli elimu yetu haijengi! Imagine mtu ni graduate wa Computer Engineer, hana chakufanya!
computer engeneering ninayoijua mimi au ile ya mahardware ya udsm?? something fishy.. nilitegemea sasa hivi kusikia kuwa yupo more than busy kupractice b4 starting new level au ndio vile ukiingia class 1st 3 months bado unajifunza contents za module
ndo yanavunwa sa hz.Mahindi si ni bado kaka...au ya kuchoma!??
we njo tu ukifika nitakupa direction.nitakuwa hapo kikazi miezi michache ijayo nipe ramani wapi mjini, mji mpya, igovu, majengo? [manase,nice, river side (sijui kama bado zipo)]