Nifanyeje kwa kipindi hiki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje kwa kipindi hiki?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mentor, Jul 12, 2011.

 1. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Habari gani bhanaaa..
  Natumai mu wazima wa afya..
  Ninaomba ushauri wenu wa jambo gani natakiwa nifanye wakati nasubiria kwenda chuo..
  Kwa sasa ninamalizia ka-contract kangu hapa jijini mwisho wa mwezi huu itakuwa mwisho. Ila natakiwa kwenda chuo (for masters) September katikati.
  Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi ya nifanye kitu gani wakati huu ninaosubiria kurudi shule?
  maana siwezi kutafuta kazi kwa mwezi na nusu..nami sitaki kukaa tu nyumbani!
  Hapa nilipopata contract wapo tayari kuniweka mpaka september ila kwa alllowance not mshahara anymore,
  ila ndo hivyo hakutakuwa na kitu cha ku-utilize knowledge yangu anymore.
  I am a computer science graduate, in Software Engineering.
  Natanguliza shukrani...
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Njo mpwapwa tuwe tunapiga stori.
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kweli elimu yetu haijengi! Imagine mtu ni graduate wa Computer Engineer, hana chakufanya!
   
 4. A

  Aine JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi naona hapo kwenye red ndio bora kuliko kuanza kutafuta kazi kwa mwezi mmoja na nusu!! sidhani kama kwa Tz inawezekana, anyway subiri wadau wengine
   
 5. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Mpwapwa ndo wapi Hus?
  Nlikuwa nimepangaga kufanya local tourism ya nchi yangu only that finances hazijakaa kulia kivile!!!
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Rejao,
  I din't exactly mean kukosa kazi ya kufanya. Namaanisha kitu cha kuniingizia kipato kwani kama ni kazi tu ya kunikeep busy ninazo nyingi.
  Ila pia nimeleta hapa nipate mawazo mengine ya nyongeza labda muda huu unaweza kufanya kitu gani kingine cha ziada.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  mi nilitaka kukushauri uhamie jf kabisaa ku-kill time, lol! kwani yale mashairi huwezi kuuza kwa password?

   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  hus, unataka kum-bemenda mtoto wa watu sasa! babu huwa anatetea wajukuu wa ME ama ni wa KE alone?
   
 9. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Haha..mashairi auze MM na Balerina, siye wengine wanafunzi tu!
  Abt kuhamia JF, kuna procedures gani za kuomba umoderator!??
   
 10. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  tuhaeshimiane King'asti...
  Ntakuitia Babu Aspirin aje akupe neno lako!
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahahaha! Mi nataka aje mpwapwa apate mambo mazuri ye hataki.
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  aaa..sijakataa Hus, nipe directions..
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  nitakuwa hapo kikazi miezi michache ijayo nipe ramani wapi mjini, mji mpya, igovu, majengo? [manase,nice, river side (sijui kama bado zipo)]
   
 14. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  computer engeneering ninayoijua mimi au ile ya mahardware ya udsm?? something fishy.. nilitegemea sasa hivi kusikia kuwa yupo more than busy kupractice b4 starting new level au ndio vile ukiingia class 1st 3 months bado unajifunza contents za module
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Twende 2kavune mahindi kwe2 moshi.
   
 16. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Real computer science kaka...I have done one project already and its working now, ila ndo hivyo chance ya kusoma imekuja siwezi iacha ati kisa sijafanya experience ya kutosha...ama nimekosea mkuu!??
   
 17. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Mahindi si ni bado kaka...au ya kuchoma!??
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ndo yanavunwa sa hz.
   
 19. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Kwenda huko mahindi tunavunaga September bana...kwani majira yamebadilika!???
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  we njo tu ukifika nitakupa direction.
   
Loading...