Nifanyeje kwa hili na huyu rafiki?

Nifanyeje kwa hili na huyu rafiki?

Ni mpakani ndugu , Zambia naiona pale bila kusahau Msumbiji

Nilijaribu kimdodosa kuhusu hilo gari na ujio wake usiku wa manane kijana sura ikawa ngumu nikasema ya nini kukosana na homeboy kisa hawa wanakijiji .

Ila nikueleze wazi kuwa hapa kijijini vitu vingi ni magendo na waletaji ni hawa wakubwa wa kijiji sasa nasikia kila ujio wa mtu yeyote mgeni ni lazima wakubwa wa kijiji wajiridhishe naye

Sasa ndiyo nawaza labda wanahofia kukamatwa ndiyo maana wanamgwaya homeboy
Zambia huku unaiona Msumbiji, bila shaka hicho kijiji kipo angani,

kuna mahali umesema upo Chunya, sasa Chunya na Zambia zinapakana wapi? Chunya na Msumbiji zinapakana wapi?


Siku nyingine unapokuja na stori uwe na ATLAS pembeni
 
Back
Top Bottom