wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,827
- Thread starter
- #21
NotedUsiwe macho tu,just chase him
NotedUsiwe macho tu,just chase him
Hapo ndiyo kizungumkutiKama ni mtu wa "sistimu" mbona anapokea na kupeleka taarifa kizembe sana kwenye gari na mida maalum mpaka wajeda wa na matiss wa kijiji wanamstukia???ila we babu angalia usije beba lawama kwani kijiji hiko kipo mpakani au kuna visa na masanga mengi?
ThanksIshi kwa umakini anaweza kukusababishia matatizo
ThanksWewe kama mzima tumia busara zako
Kwa kuwa umesema anafichaficha utambulisho wake kwako, inabidi wewe utengeneze mazingira ya yeye kuhojiwa ipasavyo!Ndugu naelewa ni nini unazungumza .
But chukua muda kuwaza mtu unaamua kuwa mwenyewe ila lazima aje kwako kukusalimia ukiwa bar mara huyu hapa unamkwepaje .
Sasa huyo kijana umemuona ndugu ?
Ni mstaarabu sana mpaka kama ni ujambazi basi yeye ni mbeba mikoba tu maana ni mtulivu sana ila sasa shida ni haya malamimiko ya wakubwa wa kijiji .
Subiri wakikwambia kuna file lako. Ila huyo hapo hajakosea njia. Ana kazi maalum kabisaSasa anatafuta nini kwangu au katumwa kujua kwanini nalewa muda wa kazi ?
Mkuu Dejane najilaumu kwa hiloMtu humjui ushampeleka kwako kwa mkeo
Hili wazo nimelipenda na pia nimelielewa sana nitafanya hiviKwa kuwa umesema anafichaficha utambulisho wake kwako, inabidi wewe utengeneze mazingira ya yeye kuhojiwa ipasavyo!
Kesha nae bar mpaka saa 6-7 usiku huku ukiwa umewaseti maaskari wa kuja kuwakamata kwa pamoja mkahojiwe ili kuepuka matatizo ya mbeleni... Askari utakaowaandaa watawakamateni alafu atahojiwa vizuri pasipo yeye kujua kama umehusika.
Fanya upelelezi kwa niaba yako, jamii yako na nchi kwa ujumla.
Nje ya hapo utaendelea kutembelewa na mtu asiyejulikana ambapo mwisho itakula kwako!
Mwanadamu hata akiwa mwema alafu ukampa nafasi ya kuwa rafiki yako wakati huohuo akijua hujui A B C D zake lazima aje kukusababishia matatizo hata ya kukutapeli au kutapeli kupitia jina lako
Dah kweli dunia chungu sana yaani kwamba kunitoa mjini hawajaridhika sasa wanataka na huku kijijini nifukuzwe au ?Subiri wakikwambia kuna file lako. Ila huyo hapo hajakosea njia. Ana kazi maalum kabisa
Yaliwahi kunikuta so nakwambia kitu kilichopo. Watu wanadhani wakikaa bar ndo hawachunguzwi. Huko wanajazana na unalewa nao kama kawaidaDah kweli dunia chungu sana yaani kwamba kunitoa mjini hawajaridhika sasa wanataka na huku kijijini nifukuzwe au ?
Nawaachia wao ila na mimi naanza kumpeleleza mpaka ijulikane mimi na yeye ni nani mbaya kwa mwenzie
Noted nduguYaliwahi kunikuta so nakwambia kitu kilichopo. Watu wanadhani wakikaa bar ndo hawachunguzwi. Huko wanajazana na unalewa nao kama kawaida
Dogo mjanja akakuwah eti twende wote tutarudiMkuu Dejane najilaumu kwa hilo
Shida ilitokea ghafla sana ila nilikuja kujiuliza mara mbili mbili
Ilikuwa hivi
Ilikuwa jumanne moja ambapo kwa siku za jumanne huku kunakuwaga na mnada mkubwa sana .
Hivyo niliingia kwenye majukumu kawaida ila saa nane nikasema wacha nifike nyumbani mara moja kuona kama mke wangu kapika .
Nimeenda nyumbani sijamkuta mke wangu nikampigia kuwa yuko wapi kanijuza kuwa leo walikuwa na wageni kutoka serikalini hivyo ameshindwa kuja mara moja kupika ila ananiomba nikale mgahawani hivyo nikawa nageuza nikale mgahawani .
Ile nimefika mgahawani kutokana na wingi wa watu kwa siku ya jumanne maana ni mnada nilikuta watu ni wengi mgahawani hivyo nikashindwa kukaa humo kula nikasema wacha nikapate bia mbili na nyama ya mbuzi bar then nirudi kazini fasta .
Ile nimefika tu bar namkuta huyu kijana basi sijakaa wala kuagiza chochote wife anapiga simu kuwa wameondoka hao wageni wao hivyo nirejee tu nyumbani akanipikie ikiwa sijala nikawa sina ajizi wacha nikale kwangu .
Sasa wakati huo niko meza moja na kijana yeye na bia zake kadhaa nikamueleza kuwa sikai tena naenda kula akanisihi nipate hata bia moja nikasemo no wacha nikale kwanza .
Basi akasema wacha nikusindikize maana mwenyewe sijala tukimaliza tutarudi sikuwa na hiyana tukaongozana mpaka kwangu na huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa yeye kupajua kwangu na kuanza kuja akijisikia na mke wangu umkirimu kama mwanaye.
Sasa anatafuta nini kwangu au katumwa kujua kwanini nalewa muda wa kazi ?
Siwezi kubisha ila now nitamuonesha ujanja wangu wa kipindi hiko.Dogo mjanja akakuwah eti twende wote tutarudi
Sio vizuri kupeleka tranger kwako ni hatari na anaonekana mjanja mjanja na humfaham
Sasa ndugu kazi zenyewe za kijijini basi unafikiri ni kama huko mijini huku unaweza kukaa hata masaa manne hakuna mtu anayekuja kuhitaji huduma hivyo naona bora niwache simu hewani ili ikitokea emergence nipigiwe ila nikasafishe koo kidogo[emoji28][emoji28] kwani bado walewa muda wa kazi?acha hizo mzee utafukuzwa ukose mafao yako,ohoo.