wanakuja Mkuu.Katika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.
Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango
Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.
Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi.
Nyumba yenye Milango 6 maana yake inatoka sio chini ya 6m.
Hapo Hujaenda GETINI kuandaa GETI...
Upande Wa GETI huwa sipati shida kwani najiandaaga kwa Kununua MABATI,Square Pipe,vinatulia kusubiri Muda napata hela kisha naita Fundi Geti linapatikana.
Kwenye MILANGO naombeni mnisaidie mawazo mliyotumia
Binafsi nawaza kukusanya mbao kama mbao kisha baadae nije tengeneza Mlango, Hii imekaaje kuhusu Ubora na Gharama ndugu zangu,kuna kitu ntaokoa au ni yale yale?
Kuna milango ya Chuma Naombeni msiiiweke katika OPTIONS naombeni mnisaidie kuokoa gharama kwenye Milango ya Mbao tu.
Kama Kuna Fundi Pia au Muuza Mbao naomba ajitokeze, Msaada wenu tafadhali.
View attachment 3330414
Wahindi mbona hawawazi haya mambo ya milango. Na wanaenjoy maisha kwenye nyumba za msajiliKatika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.
Yani kuna wakati natamani kuweka hata mabati, ilimradi Mlango
Naomba Wazoefu eneo hili mnisaidie Huwa mnafanyaje mkifika eneo la KUWEKA milango nyumba.
Gharama za mlango Mmoja Wa Mbao ya Mkongo inafika hadi 1m na zaidi.
Nyumba yenye Milango 6 maana yake inatoka sio chini ya 6m.
Hapo Hujaenda GETINI kuandaa GETI...
Upande Wa GETI huwa sipati shida kwani najiandaaga kwa Kununua MABATI,Square Pipe,vinatulia kusubiri Muda napata hela kisha naita Fundi Geti linapatikana.
Kwenye MILANGO naombeni mnisaidie mawazo mliyotumia
Binafsi nawaza kukusanya mbao kama mbao kisha baadae nije tengeneza Mlango, Hii imekaaje kuhusu Ubora na Gharama ndugu zangu,kuna kitu ntaokoa au ni yale yale?
Kuna milango ya Chuma Naombeni msiiiweke katika OPTIONS naombeni mnisaidie kuokoa gharama kwenye Milango ya Mbao tu.
Kama Kuna Fundi Pia au Muuza Mbao naomba ajitokeze, Msaada wenu tafadhali.
View attachment 3330414
Ni aina ya mllango fulani ambayo imetengenezwa na material ya chuma na bati na ukiweka hautahitaji kuweka mageti au grill. Pia Ina muonekano mzuri sana inapatikana kwenye hardware kubwa kariakoo. uliza security door za nje watakuonyesha.Security doors ndio milango ipi?
Okay thanksNi aina ya mllango fulani ambayo imetengenezwa na material ya chuma na bati na ukiweka hautahitaji kuweka mageti au grill. Pia Ina muonekano mzuri sana inapatikana kwenye hardware kubwa kariakoo. uliza security door za nje watakuonyesha.
Inapiga kelele sipend japo ni mizur Kwa uimara ila kelele zake ukiingia unasikika ukitoka ivoivoNi aina ya mllango fulani ambayo imetengenezwa na material ya chuma na bati na ukiweka hautahitaji kuweka mageti au grill. Pia Ina muonekano mzuri sana inapatikana kwenye hardware kubwa kariakoo. uliza security door za nje watakuonyesha.
Ndio security yenyewe hiyo sasa, unapendelea ndugu mwivi aingie bila kusikika?Inapiga kelele sipend japo ni mizur Kwa uimara ila kelele zake ukiingia unasikika ukitoka ivoivo
Toa mawasilianokama una jamaa kati ya tabora, goweko na mpanda jaribu kumcheki maana kwa maeneo hayo milango ya mninga/mkongo/mkurungu inapatikana kwa bei rahisi sana na taratibu za usafiri unatumia trc ambao bei yao ni ndogo sana.
Hakuna haja ya kuongeza unajitosheleza kabisa.Ukiweka hiyo security door hautakiwi kabisa kuongezea mlango wa mbao?
sijasema nafanya biashara ila nimeshauri kama ana mdau wake maeneo hayo itakuwa rahisi kwake.Toa mawasiliano
Hapo sasa inategemea ndani kuna nini. Sasa kama umeweka debe la mahindi na kiloba cha mkaa hayo yote ya nini?Ni aina ya mllango fulani ambayo imetengenezwa na material ya chuma na bati na ukiweka hautahitaji kuweka mageti au grill. Pia Ina muonekano mzuri sana inapatikana kwenye hardware kubwa kariakoo. uliza security door za nje watakuonyesha.
NitarudiKatika Maeneo yananipasua Kichwa eneo la Finishing ya nyumba ni Milango.