Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Kila mtu na kipaumbele chake bhana,Sasa uboho mkubwa wa kazi gani?.Kati ya waliokurupuka ni wewe, hili tatizo likikupata hata muda wa kutafuta hela hutaupata. Ni tatizo ambazo unaweza kuwa umesimama magoti yakakosa nguvu ukaanguka hapo hapo na hata ukipelekwa hospitali unapewa diclofenac tu na dawa za kulainisha.