Nifanyeje kuongeza Uboho?

Nafikiri hili tatizo sio la kila mtu, Ukosefu wa uboho unasababishwa na mwili kutotengeneza cells nyekundu au nyeupe ambazo ndio chagizo za uboho ambalo linasababishwa na anaemia. Hili ni tatizo sio la watu wengi, huwapata wachache sana na wakati mwingine tatizo la urithi.
 
Angalia mwili pia kama una mazoezi ya kutosha
Sahihi, Afya ya mwili, Chakula bora, na mazoezi ndio tiba
hhp.png
 
Back
Top Bottom