mbona hali ya kawaida hiyo mimi nilifikiri hakufat[/QUOTE
Lakini hadi umshtue nikikaa kimya ndo hadi giza hajui natakiwa niwah
Rudi mwenyewe home....
Na ndio itakupa changamoto za kununua yako....
Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu
Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom
Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.
Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...
hahahaha hii imetisha,mume wa kazi gani jmn km hata hajui unashinda wapy daily?
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...
sasa atajuaje kama umemaliza kazi. usikasirike
Panda daladala,mtakutana nyumbani.
We acha mapenzi ya kitoto, ashazoea uwa unampigia ukimaliza shughuli zako anakufata, sasa we unataka awe anakuja then anakaa kukusubiri, akiwa anakuja kukufata utakuja tena kuandika; mpenzi wangu ananifata ananisubiria kama nyapala. Acha lawama wewe yaani nyie watu hata hamjuagi mnatakaga nini, hakunaga hyo kama vp chukua kamkopo jipatie japo kavtz. Na kesho sikufati.
Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu
Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom
Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.
Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?
Kua uyaone...Mbona yapo sana