cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya mahusiano.naombeni njia na kwake Huwa naenda Hamna nguo ya mwanamke na hajaoa zipo nguo zake tu.na mara nyingi naenda na yeye kwangu anafika
