Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,285
- 51,895
Uzi utafungwaje sijatoa mchango wangu?😊Uzi ufungwe.![]()
Uzi utafungwaje sijatoa mchango wangu?😊Uzi ufungwe.![]()
Na hapa ipoAcha kihere here ukihitajika utaitwa
Atashindwa kummiliki yeye (huyo mwanaume wake) na mali zake zoteKwanini we ukiishi kwako yeye akaishi kwake na mahusiano yakaendelea kama kawaida unapungukiwa nini?
Anaenda kumtafuta mtoto wa pili afu jamaa asepeKama una mtoto tayari yaani single mother itakuwa ngumu kwakwe kukuweka ndani Amini kwamba
Huyo yupo na mtoto tayari ni 1-0Masingo mama yanapatikanaga hv hv,yaan miezi minne tu unawaza kukaa kwake
Mnauwaga ndoto za vijana wengi mapimbi nyie
Kwenye miti hakuna wajenzi, yaani mbususu inajileta jamaa anachelewesha. Wewe ukienda anza kukaa wiki unaondoka, unakaa wiki mbili unaondoka, unakaa wiki tatu one nk. Siku ukiondoka atakuwa amekuzoea ataanza kusema usiondoke had nikuruhusu! Imetoka hiyo.Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya mahusiano.naombeni njia na kwake Huwa naenda Hamna nguo ya mwanamke na hajaoa zipo nguo zake tu.na mara nyingi naenda na yeye kwangu anafika
Kwanini😅Mimi, Mwanamke anaeonyesha kunitaka sana huyo lazima nimpige chini.
Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya mahusiano.naombeni njia na kwake Huwa naenda Hamna nguo ya mwanamke na hajaoa zipo nguo zake tu.na mara nyingi naenda na yeye kwangu anafika
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona anaishi na mwanamke mwingine mimi nikaendelea na maisha yangu na nimepata ajira tofauti na eneo analoishi baba mtoto Sasa anaimba turudiane na nikirudiananae lazima niache kazi ungekua wewe ungefanyaje mtu alikudharau huko nyuma alikuona takataka akaoa mwanamke mwingine yamemshinda anarudi tena
Sema umefukuzwa na mwenye nyumba ili akustili kwa muda,ukishindwa Hilo utakuja kutoa ushuhuda hapa!Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya mahusiano.naombeni njia na kwake Huwa naenda Hamna nguo ya mwanamke na hajaoa zipo nguo zake tu.na mara nyingi naenda na yeye kwangu anafika
huwa naamini ndoa ya kweli inakuja yenyewe naturally with no efforts kutoka upande wowote kuelekea kwenye ndoa kama huyo mrembo vile anataka accelerationKwanini😅
Anapungukiwa mnyanduo wa kushtukiza, early in the morning!Kwanini we ukiishi kwako yeye akaishi kwake na mahusiano yakaendelea kama kawaida unapungukiwa nini?