Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Elia just be yourself, when you feel like your are ready to get married just do it ukianza kuuliza watu mshikaji wangu kila mtu atakupa experience yake and the end of the day utaishia kutokuoa kwa kuogopa yale watu waliokwambia just know that marriage differs kila mtu ana experience yake mwisho wa siku you are the one to decide what's good and bad for you

Nakubariana na wewe, ninaambiwa watu tunao safiri mara kwa mara dio tunaibiwa sana. Ahsante sana
 
kaka umenifurahisha sana na swali lako..mie mwenyewe napigiwa kelele mpaka basi kwa hiyo usifikilie huko peke yako..mbaya zaidi ni pale unapooa na kumwacha demu wako bongo nawe kwenda ng'ambo kutafuta maisha au kufanya kazi mikoa tofauti..sasa hapo unakuwa kama umewaolea wengine...
Majibu ni magumu sana..

Yes, mkuu nadhani we are in the same boat.
 
Ndio mkuu kwasasa nipo katika harakati za kutafuta, mtarajiwa, but i wanted to know what precautions (if any) i should take before marriage?

Kwani unataka kuoa wapi mkuu....tarime?lol
 
Nakubariana na wewe, ninaambiwa watu tunao safiri mara kwa mara dio tunaibiwa sana. Ahsante sana

Mkuu sio lazima jambo lililotokea kwenye ndoa ya mtu fulani basi hilo hilo litatokea kwako, muhimu ni kumuomba Mungu upate mtu aliye mwaminifu na kujiweka mbele ya Mwenyezi Mungu kwa maombi ambayo yatadumisha mahusiano yenu hicho ndicho kitu cha msingi zaidi kumshirikisha na kumuomba Mungu baraka zake.
 
They will come trust me no need to hurry there are so many out there who are searching for people like you

ASANTE Mkuu, hope it will turn just as nice as enjoyable. I pray to have an enjoyable marriage!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom