kaka hawa watu ni very hard to understand and at the same time very easy to understand but all in all it depends on how well you can handle them.....wala usiwe na hofu kuhusu kuoa cha msingi muombe mungu akujaalie umpate ambae mtaendana. Hizi case za mwanamke kuchakachuliwa sijui na muuza urembo mara house boy ukizifuatilia utakuta kuna a bit of weakness kwenye ndoa though sio all the time.
Wakuu: habari ya wked? Kuna hili linanisumbua. Inaonyesha ndoa nyingi zinaingiliwa (kunakuwa na cheating) na ma house boy/shamba boy, house girl, marafiki, majirani, wauza urembo, mapedejee na wengine wengi.
Hii inanitisha sana, Naombeni ushauri nifanyeje kabla ya kuoa? Ili nitakapooa nipunguze au kuondokana na karaha hii
Nawakilish
Acha woga mkuu.....tafuta mchumba....then oa........
after all, marriage ain't a paradise.......
usioe
i can feel you....
Be yourself; everyone else is already taken
Pearl hebu nifafanulie kdg!
Wakuu: habari ya wked? Kuna hili linanisumbua. Inaonyesha ndoa nyingi zinaingiliwa (kunakuwa na cheating) na ma house boy/shamba boy, house girl, marafiki, majirani, wauza urembo, mapedejee na wengine wengi.
Hii inanitisha sana, Naombeni ushauri nifanyeje kabla ya kuoa? Ili nitakapooa nipunguze au kuondokana na karaha hii
Nawakilish
Taken where????
to wea zey belong
So do i
Huna haja ya kusema ndoa nyingi zina cheating,kwann ndoa yako isiwe moja kati ya ambazo hazicheat?IT BEGINS WITH YOU,REMEMBER?