Nifanyeje ili niweze kuacha kum spy?

Nifanyeje ili niweze kuacha kum spy?

Kama unapenda usiumie, usichunguze.
Ila kama you are realistic kama mimi, nakuambia;
Braza, we spy tu. Trust me, it will be worth it, at the end.
Binafsi, I like to know what im up against. So whenever i feel like doing that, i do it.
Coz kama ana kitu cha siri ambacho kitakukwaza, basi ni tatizo na hakitakiwi na anajua hivyo, otherwise it wouldnt be hidden.
Ila Be careful, some people cant handle the truth. The question is, Can you?
 
Thanks mkuu...today i mark a new beginning ase
alafu naomba kuuliza..mie sio mtu wa michepuko..kuna jamaa yangu kanishauri niwe na kidumu chakupunguza stress juu ya huyu..sasa je huwa inasaidia kuwa na kipoozeo..?
Unachotaka usitendewe wewe na wewe usimtendee mwingine.
 
Kuna kanuni zimeandikwa kwenye Biblia TAFUTENI NANYI MTAONA. So kama ww unaona inalipa kuwekeza kumspy mwenzako nakuhakikishia utaona na usije hapa kutoa POVU. maana shetani yupo pia. Ww si unatafuta kujiharubia amani usitie shaka atakusaidia fasta uipoteze amani yako kisha uanze kuandika mistari oh wanaume/wanawake wote mbuzi tu!![emoji3]

Ushauri wangu. Elewa huoi au kuolewa na malaika. Hata ukimspy hukuona shida yyt jua kuwa huyo mtu ana madhaifu kibao na utaja yajua kadri mtakavyokua mnaishi. So acha ujinga huo unaoufanya maana ni ujinga ati. We jiulize hv kwani ww huna udhaifu fulani ambao yamkini hata huyo unayemspy hupendi ajue!!?

Tafakari .....chukua hatua
 
Thanks mkuu for some wise facts
 
Nashukuru sana kwa muongozo wa ki fikra mlizonisaidia wakuu
naona jambo la busara katika nyakati hizi ni kupambana nimuhudumie vizuri tu yeye na mtoto..kutafuta pesa ndo iwe nguzo yangu..mapenz yataongezeka kadri kipato kitakavyo kua vizur..na naamini kama the sex is good ndo hata hangaika hata kujamba nje...
nimeanza ku impliment anti spying moves effective from jana
wish me luck
 
m nilikuaga na mspy dem wangu nakuta kapigwa saund kila msg ninayo ifungua , af nikagundua ni mshamba mshamba maana anaweza ona instagram mtu katengeneza acc Feki anajiita jina la superstar yeye akam DM akaanza oo flan mm kaz zako nazpenda sana jamaa lnamjib nashkuru linaanza nakumtia sound apo apo. nae ana ji benisha benisha.

sijawai kumwambia wala kutaka kujua kinachoendelea atajua mwenyewe na maisha yake

so ucpend kufuatilia fuatilia utajipa stress tu boss. mi nshaga acha kbsa
 
Hodi kwenu wana MMU?

Straight to the topic.

Lately nime develop kitabia cha kum spy mwenzangu sana to the extent naweza check logs zake via my reliable sources in the network nk.

Naamini mabadiliko mengi yanapaswa kuanzia na mimi mwenyewe, naomba ushauri na muongozo what to do niweze punguza hii obsession.

We both work, ila mkoa tofauti na tunatarajia kufunga ndoa mwakani.
Jipende, jikubari, jiheshim ndio njia ya kwanzaa kulcha wivu.
 
Back
Top Bottom