kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 417
- Thread starter
-
- #81
Sehemu nyingi kwenye huu uzi nimetoa angalizo nataka maoni yanayothibitishika kisayansi.Mganga ni mganga tu, inategemea anaegemea wapi. Kuangamiza au kutibia,
Wewe ulitaka ushauri, pokea ushauri . wewe utabishanaje na mganga..?
Daktari unaweza bishana nae hawa wa digitali , lakini wa jadi tangu lini ukabishana nao ? Fauata maelekezo mkuu..
Mifupa ya kiumbe gani?."What you eat, is who you are", Jaribu kula sana mifupa, ukiweza kula nusu kilo kwa siku utakuwa kama mbwa.
Nikikuelewa nitakujibu.Ushawai kupewa show na vumbi?
Unataka nguvu za sex. Dawa kula mbwa. Unataka scientific proof anzisha thread nyingine. Unataka shule toa ada. Masharti na vigezo kuzingatiwaLazima niulize.
Kuuliza watu mbalimbali ikiwemo hapa JF ni sehemu ya shule.
Umeandika haraka unaogopa nisikujibu, hata kama unaogopa, mimi nitakujibu tu.Unataka nguvu za sex. Dawa kula mbwa. Unataka scientific proof anzisha thread nyingine. Unataka shule toa ada. Masharti na vigezo kuzingatiwa
Labda sasa jibu swali ulilouzwa uko darasa la ngapi? Tuanzie elimu yako?Umeandika haraka unaogopa nisikujibu, hata kama unaogopa, mimi nitakujibu tu.
Maelezo yako yote, elezo linalotakiwa kujibu ni la "Unataka nguvu za sex", jibu ni hili:
"Sijaomba niwe na nguvu za sex, ninazo. Nafanya majaribio ya kidadisi"
18+ unaniuliza niko darasa la ngapi?Labda sasa jibu swali ulilouzwa uko darasa la ngapi? Tuanzie elimu yako?
Mkia ninao i.e wa mbele.Unataka na mkia wa mbwa au nguvu zake tu?
umenena vyema mkuu,kuna mambo mengine hatuwezi kufanya kama wanyamaUlipolenga wewe, umelenga mimi siwezi kuwa na umbo la mbwa, hiyo sawa nakubali, siwezi kuwa na umbo la mbwa, ila NAWEZA KUWA NA TABIA ZA MBWA.
Haiwezekani mimi kuwa na akili ya mbwa.
Mkuu, mimi ndiye niliyeleta huu uzi, nimeuleta ili kuomba ushauri wa kisayansi wa kuwa na uwezo "KAMA" wa mbwa wa kwenye mapenzi, maana mbwa ndiye kiumbe ninayemwona mwenye uwezo mkubwa kwenye mapenzi.umenena vyema mkuu,kuna mambo mengine hatuwezi kufanya kama wanyama
HahhahaKula msosi wa makombo ya ugali na mifupa mlo mmoja kwa siku. lala mchana kutwa ukishindia maji tu. Usiku ukiingia baada ya kula amka uzungukue nyumba kwa kukimbia huku unabweka hadi pakuche.
Ndani ya miezi 6 tu utakuwa unagonga show kama scooby doo wangu pale bandani! Ulete mrejesho mkuu.
Muombe Mungu akubadilishe uwe mbwa ili uwe na uwezo kama wa mbwa.
NB: kwa akili zako finyu kama hizi, ukibadilishwa ukiwa mbwa BASI UTAKUA JIBWA KOKO.
Kote umechekesha fresh, ila kwenye nibweke kama mbwa, umezingua.Kula msosi wa makombo ya ugali na mifupa mlo mmoja kwa siku. lala mchana kutwa ukishindia maji tu. Usiku ukiingia baada ya kula amka uzungukue nyumba kwa kukimbia huku unabweka hadi pakuche.
Ndani ya miezi 6 tu utakuwa unagonga show kama scooby doo wangu pale bandani! Ulete mrejesho mkuu.