Nifanyeje ili niwe mchoyo?

Nimechoka kuombwa ombwa.
Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa jamani ili niwe mchoyo.
Wewe ni Me au Ke Boss!?
Cha msingi ni kutokuwa navyo au kutomiliki vya kuombwa. Utakuwa mchoyo automatically.
 
Wakija kukuomba, anza kuwawahi kwa kuwaambia haviombeki... Kila mtu aende kwake... Alafu unafuta nao urafiki... Watakuona mchoyo sana...

Cc: mahondaw
 
Wakija kukuomba, anza kuwawahi kwa kuwaambia haviombeki... Kila mtu aende kwake... Alafu unafuta nao urafiki... Watakuona mchoyo sana...

Cc: mahondaw
Vibaya hivooo jamani hamuwezi jua uhalisia wa maisha ya watu love. Kama una uwezo just help them ila kwa akili sana wengine wamezoea kujitegeza
 
Nimechoka kuombwa ombwa.
Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa jamani ili niwe mchoyo.
Toa kwa furaha kile ambacho una uwezo nacho na ndipo utakapo furahia Baraka za utoaji katika maisha yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom