Nifanyeje ili niwe mchoyo?

Vibaya hivooo jamani hamuwezi jua uhalisia wa maisha ya watu love. Kama una uwezo just help them ila kwa akili sana wengine wamezoea kujitegeza

mahondaw wangu... anayehitaji msaada anaonekana, anaposhikwa hushikama... lakini kuna wale wengine ni kama ratiba...
 
Maisha kusaidiana mkuu!!,ukiwa nacho leo mpige tafu na mwenzako,huwezi jua wewe utapigika lini,Wabena wa Njombe wanakwambia-"UWENDE LIPWELA",m.y.Wema ni Akiba.Tenda wema ndugu yangu bila kuchoka na Mungu atakubariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom