Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,040
- 1,273
Kuwa na GPA kubwa is a necessary but not sufficient condition ya kupata kazi,na ingekua kigezo cha GPA ndio kila kitu basi kuna baadhi ya products(wanafunzi) kutoka baadhi ya vyuo wangekua hawapati kazi coz most of them GPA zao ni za kawaida sana kutokana na ugumu wa elimu inayotolewa pale mfano ni UDSM,SUA na vingine vyenye sifa mfanano kama hivyo,kuna baadhi ya vyuo hata mleta maada anavifahamu(sivitaji) inajulikana elimu itolewayo huko kwa kweli product zake nyingi zina first class lakini linapokuja suala la deliverance kwenye kazi ni utata,sisemi mleta maada asipate GPA kubwa kwani ni mwehu pekee anaeweza kwenda darasani na akawa ana malengo ya wastani kwa kiasi hicho,kuna mchangiaji mmoja kaeleza kuhusu kuitwa kwenye usahili,yap! naungana nae GPA sometimes huwa inahusika maeneo hayo,kuna mambo mengi sana yanazingatiwa wakati wa shortlist ya kuitwa kwenye usahili,mimi nakumbuka niliitwa kwenye usahili kwasababu tu nilikua nimefanya vizuri mathematics o-level,so kulingana na kazi tuliyoomba kilikua ni kigezo na nilipata kazi baada ya kufanya vizuri kwenye usahili ule,so ukiachana na mambo ya perfomance n.k,vilevile inabidi ujiongeze wewe mwenyewe kwenye kutuma maombi kila mara pamoja na kuwa deep kunako field ya unachosomea,haiingii akilini leo unasomea masuala ya IT,lakini upo shallow kwenye field hiyo wakati unajua mkiitwa kwenye usahili lazima mfanye practical juu ya hizo mambo,kwa taarifa tu,mimi nilipata kazi kabla sijamaliza kufanya MITIHANI YANGU YA MWISHO CHUO YA MWAKA WA TATU,so niliifanya mitihani iyo huku nikitokea kazini,sijisifii ila najaribu kuelezea kuwa haya mambo yanawezekana,na sina mtu alienipigia pande kwenye kazi,so tuamke vijana! cc king90