mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,334
- 57,157
Dàaah.kuna watu bhaado wanaumizwa na mapenz kumbe.
Hahahaaa.....ulifikiri ni Phd ama?!!!! Acha dharau Mungu anakuona! Mbona hata wabunge wetu wameishia darasa la saba!!!....We ********, yaani uzi wooote huo ni kabinti ka kidato cha nne?
Mbunge yupi huyo nduguHahahaaa.....ulifikiri ni Phd ama?!!!! Acha dharau Mungu anakuona! Mbona hata wabunge wetu wameishia darasa la saba!!!....
Ahaaaaaaa acha matusi bhana,raia amekolea kwa penzi la kident kidogo dogoWe ********, yaani uzi wooote huo ni kabinti ka kidato cha nne?
Nitumie pic zao linkopole joo kifupi huna demu na huyo manzi niko nae hapa na mi nakufahamu vizuri na yuko na mabest zake ambao ana kaa nao usijali we jichanganye nikutumie picha zao
Babu Yangu. Ameishia darasa la saba la mjerumani mkuu.(nimekuibia siri)