miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
mkuu mbona umeshaachwa unasubiria filimbi au?
Maelezo yote unalilia papuchi moja?Habari wakuu Mimi ni kijana nimejiajili naishi dar es salaam kigamboni
Nimekuja jukwaani Leo tushirikishane kidogo na hili tatizo langu ningeomba na ushauri wenu pia,
Kuna binti nipo nae yapata miezi 10 sas tangu nipo nae kwenye mahusiano yetu yakimahaba uyu binti ni mwanafunzi na SAS anatarajia kuhitimu kidato cha NNE
Ulipofika mwezi was nane mwishoni binti aliniambia naomba nisiwe karibu na wew kwa SAS niache nijiandae na mtihani ingawa hakunieleza kwa upole na bila mpangilio unapomuhitaji anakwambia sina muda wa kuja kwako, anakuahid lakini hatokei nikajiongeza nikajua anahitaji kusoma na kuwa karibu na mungu kwa maandalizi ya mtihani wake nikavumlia ingawa ilifikia had I hatua tuwaka tunapishana kiswahili kwani ilikuwa ngumu kwangu kuvumilia kwani nilikua sina demu mwingine kimapenzi
Ikafika mwezi wa 9 binti akawa hanitafuti kabisa hadi nmtafute usipo mtafuta na yeye Hana habari anadai anachoka so Mimi ndio napaswa kumtafuta nilivumilia haikupita siku NNE lazima nimpigie nimjulie hali ingawa alikuwa haitaji maongezi mengi Kama hapo mwanzo mkiongea Kama dakika 5 akakwambia OK badae nahtaj kupumzika kwa kifupi alipunguzuka kabisa mawasiliano na Mimi sikukata tamaa nilijipa moyo nikiamini tote hayo sababu anajiandaa na mitihani
Ulipofika mwezi wa kumi binti alienda kukaa kwa rafiki ambapo palikuwa na ukaribu wa kwenda shule aliniambia kwa SAS sipo nyumbani nipo kwa rafiki yangu kwa SAS nashinda shule tukifanya group discussion na wenzangu nikamwambia OK vizuri soma kwa bidii nikaendelea kumtia moyo na kuzidisha upendo hadi nilijihisi Kama nimekuwa msumbufu kwake
Kwa kipindi hicho niliwaza nitafute dem mwingine nalize shida zangu kipindi namsubili yeye mpaka atakapomaliza mitihani take lakini nilishindwa nampenda Sana niliogopa kumsaliti niliendelea kuvumilia
Binti alivyoenda kwa rafiki kwa ajiri ya kuwa karibu na shule na wanafunzi wenzie alienda na smartphone nikawa namuona WhatsApp anachat hadi ucku tukawa tunachat SMS mbili tatu namuacha nazima data kesho ukimcheki unakuta last seen 04:30pm ilikuwa inaumiza Sana
Kipindi hicho chote hakunitafuta Mimi ndio nimtafute ilinitia Shaka Sana nilihisi ananiacha kimtindo alafu bado namuhitaji
Ukafika wakati wa mtihani nikamu wish all the best na maneno na kumtia moyo lakini halishindwa tata kusema ahsante niliumia nikajipa moyo nikapotezea
Kipindi chote alipoanza mitihani sijamtafuta nilim SMS juzi hajajibu SMS yangu wakuu napata Shaka Sana nahisi naachwa kweupe sijui Kama atanitafuta,
Mini nifanye bado nampenda Sana huyu binti sipo tayali kumuacha aende
Inauma lakini huwezi kumpenda mtu asiyekupenda, msahau na hamisha mapenzi kwako mwenyewe, jipende wewe mwenyewe na utampata mtu atakae kupenda.