Nifanye Nini simu yangu isiniandikie storage full?

Ukubwa wa simu yangu ni gb 32
Infinix hot 9 .
Nimejaribu kufuta kila kitu Sina video Wala picha yeyote lakini nikitaka hata kupiga picha tu inaniandikia storage full, naomba msaada wenu wa setting..
Hiyo simu ni ndogo sana itakusumbua

Ila njia ya uhakika ni kuireset ianze upya
 
Vitu vingi mtandaoni bila kuwa na above 4G na version above 5 hutaweza kuvitumia katika ubora wake nadhani hata JF hasa vile vyenye applications vikiwemo
Huduma za serikali
Huduma za kibenki
Huduma za kifedha nknk

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana ebu kuwa wazi,

Ubora unaozungumzia Ni wa YouTube au?

Na hizo huduma za kiserikali,Ni huduma ipi ambayo 3G inagoma na 4G inakubali?
 
hapo hapo una maitaji kama muziki,picha,video upakue.
Hayo mavideo ya ambaruti uliyoyajaza kwenye simu hayawezi kukusaidia kitu zaidi ya kupiga punyeto kama SIMBILISI.

Lisimu kuuubwaaa lakini limejaa mapunyeto matupu hakuna kitu yenye maana.

Kwa mtu ambaye ni disciplined, hata simu yenye GB 8 inamtosha.

Unahitaji MAWASILIANO YA MSINGI, texting, WhatsApp messages, and calling.

Sasa wewe lisimu lako limejaa MAPUNYETO YA AMBARUTI, kwa kweli mungu akuongoze.
 
Countrywide njoo ucheke wizo karudi na vituko vyake huku
cocastic we mke wa Mjep wizo wako umemuona??
Muite na Mrs CW mje mcheke
 
Back
Top Bottom