Nifanye Nini simu yangu isiniandikie storage full?

Havuki chochote heri aingie setting afute caches kwenye apps anazozitumia sana na nyengine afute data kabisa na ambazo hazitumii afute kabisa.. ila yote kwa yote abadili simu aje hata Huawei angalau atulize komwe..
KENZY kubadili simu sio jambo la mchezo ujue.. Simu standard kwa viwango vyetu bongo si chini ya 500k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo application ndo ndo zenye storage kubwa hadi simu inaandika full.

Hapo nenda kwenye setting fungua APPLICATION INFORMATION alafu anza ku clear moja moja.
Mfano istagram,Whatsapp ,WPS

Unaweza kuta ukubwa wa aplication ni 70mb alafu ishafanya storage yadata zaidi ya GB



Ushauri

Ukiwa waingia kwenye application ambazo hazihitaji kuwasha data uwe umeifunga data ili kuzuiya hiyo data zinazoongezea

mfano aplication kama ya kufungulia PDF, PHOTOS, File.

Uki clear whatssap ,FB na Istagram itakulazimu ku log in tena ila utakuwa ushaondoka storage zake zinaZopeleka sm kuwafull
 
Mimi sio mtaalam sana ila naweza kuchangia kidogo;
1. Angalia program ulizodownload ambazo huzitumii ufute (delete). Unaweza kuta simu ina maprpogram hata 30 (screen yote imejaa) ila unatumia nusu yake tu
2. Baada ya hapo nenda play store download program ya safisha simu (phone cleaner) zipo nyingi chagua yenye rate nzuri download, na ifungue itakuonesha mafail ya kufuta (junk files)- zi delete
3. Kwa kuwa simu yako ima memory ndogo, kama unatumia whatsup, unatakiwa usiruhusu kuserve picha kwenye Gallery.
4. Mwisho: Ujue ukifuta (delete) vitu haviondoki kwenye simu, vinabakia kwenye recycle bin ya simu hivyo unatakiwa ufute na huko pia ila hiyo program ya kusafisha simu itakusaidia kuondoa

watakusaidia wengine.....
 
Back
Top Bottom