Nifanye nini nipate views 5000 per day kwenye blog

Nifanye nini nipate views 5000 per day kwenye blog

Ndg WanaJF

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, blog yangu ina views wachache sana kwa siku takribani 100 nifanye nini ili kufikia 5000 views per day??

Natanguliza shukurani

Nakushaur hata kama blog yako itakuwa inahusiana na Mapish lakini hakikisha haukosi kuweka habari nyingine kama za burudan,michezo nk hii itakufanya watazamaji wako kutoboreka.
 
Blog yako nimeiona japo in mobile format, ni nzuri, hongera
Sasa anza kushiriki katika forums za mambo yanayohusu blog yako. Kwa mfano unaweza kupost kitu jf mapishi ukaelezea kidogo kisha ikaweka link ya blog yako ili kila mwenye kutamani maelezo zaidi afungue blog. Hakikisha unaweka kitu kipya kila wiki au mara mbili kwa wiki ili watu wapate hamu ya kurudi. Kama una posts nyingi unaweza kuzi schedule zitoke siku za mbele, usizitoe zote kwa pamoja unless una materials nyingi
 
Mkuu nakushukuru sana, umenuingezea kitu katika ubongo
 
Nakushaur hata kama blog yako itakuwa inahusiana na Mapish lakini hakikisha haukosi kuweka habari nyingine kama za burudan,michezo nk hii itakufanya watazamaji wako kutoboreka.

Ahsante mkuu kwa wazo lako, nitalifanyia kazi
 
Sijaelewa wanaokwambia blog imekaa vizuri,mara ni mobile .Hiyo blog unakazi kubwa ya kufanya kama tangazo fulani husema "kwanza tupambe kisha tusheherekee".Design ya blog yako sijui wewe unaona inamvuto yenyewe kama yenyewe ukiacha contents?

Contents sijajua kwa nini zote picha na maneno ziko kushoto,na picha kila moja ina size yake tofauti na wenzake.
Mimi ushauri wangu kama unataka kitu kizuri fanya kazi na watu wazoefu,kwa mfano blog ungeweza tengenezewa nzuri na mtu mtalaam wewe ukideal na contents.Mimi kama mtu wa IT hiyo blog design yake siielewe kuna kitu kinaitwa "usability" na "usefulness".make you blog speak and it should stand out of the crowd.Web technology iko juu sana views 5000 kwa siku zi kazi ya kitoto.
tatizo wabongi wengi mnakosea unafanya kitu for the sake of money first,wewe unataka view 5000 kwa sababu unajua ukiwa nazo utapata pesa.Weka pesa pembeni pesa huja automatic huduma ikiwa ni nzuri.Tengeneza blog yako iwe ina madini na "mambo ya kijinga" picha za utupu n.k hii si nzuri itaharibu hata heshima yako mtaani.
Unakazi kubwa ya kufanya.
 
Back
Top Bottom