Nifanye nini mke wangu ajue nampenda?

Nifanye nini mke wangu ajue nampenda?

Mpe pesa mkuu,
we mpe pesa tuu,
kila ukitoka kazini huna cha zaidi mpe,mpe,mpe pesaa. Yaani mpaka anadhani israel anataka kuchukua roho yake... endelea kutoa pesaa! Naamini hatakuacha
 
Mkuu mbona unajiuliza swali la kitoto namna hiyo?? Kitendo cha kumuoa tu tayari umefanya jambo kubwa kwa sababu huwezi kuoa mwanamke usiyempenda
 
Kilasiku najiuliza swali hili jibu sijapata, nifanye nini mke wangu ajue nampenda?
Mpaka imefikia mahala akawa mkeo hujui cha kumfanyia aridhike na hujawahi kumfanyia?

Ila kumbuka ni ngumu sanaa kwa wanawake wengi hasa wa kibongo kuridhika na kuapreciate unachomfanyia, ataishia tu kukufyonza.

Jaribu bahati yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom