Nifanye nini katika hili?

Mwambie mkuu maana nilikuwa natetemeka
 
jamaa haji elewi kabisa, yupo kama bendera
 
Sijawahi kuwaza hivo hata mara moja mkuu tatizo alivoenda kwao wakamwambia niende katika maongezi yao kuna sherehe mbili wanachotaka niende nikawape na mahari ukiangalia mda wa kutoa bado
 
Ahsante mkuu ila tatizo lipo hivi mimi sikai nchini na natakiwa niende kazini ameondoka bila utaratibu wowote juu ya malezi ya mtoto mkuu alafu anaweza kurudi nikiwa sipo ndo tatizo
Sawa haina shida. Kama hukai nchi ndio vizur zaidi.
Toa taarifa zote kwa wazee wako , kisha kwa kipindi hiki ambacho hayupo fanya utaratibu ndigu yako akakae hapo home ukiwa unaondoka. Utaratibu woote wa mtoto jadiliana na wazee wako ataukita huko . Usijadil hili suala kabisa na upande wa kwao mwanamke wala usipihe simu.

NB
kama hukai nchini basi kuna uwezekano unagongewa na ukipofika yeye akaommba kuondoka basi inawezekana kuna suala anakuficha..
Akili kichwan ila anza kufikiria plan B ,maisha nje ya huko mwanamke.
 
Ahsante mkuu ila tatizo lipo hivi mimi sikai nchini na natakiwa niende kazini ameondoka bila utaratibu wowote juu ya malezi ya mtoto mkuu alafu anaweza kurudi nikiwa sipo ndo tatizo
Duuh kumbe mzeebaba huishi nae??
 
Unaoaje katika umri mdogo? Je wajua kwamba unatombewa?
 
Baada ya hapo akaanza kutaka kwenda kwa baba mdogo wake (anayekaa karibu), lakini nilikataa kwa sababu tayari aliwahi kukutana naye alipokuwa kwao. Naomba ufafanuzi
 
Wewe hauna hela na bado unajitafuta mwache aende zake kama ni mfanyabiashara ila kama umeajiriwa mpe likizo ya kwao ustawi wa jamii watakunyonyoa
Demu inaonekana hataki tena kuishi na wewe na ameshapa mjuba na amemwelewa sababu ukisikia mwanamke anakuambia hataki kwa mtindo wowote ukilazimisha kuendelea utakufa siku sio zako
 
Pole sana mkuu

Badili kitasa kisha ondoka na ufunguo kisha kapambane kutafuta hela
 
Sijawahi kuwaza hivo hata mara moja mkuu tatizo alivoenda kwao wakamwambia niende katika maongezi yao kuna sherehe mbili wanachotaka niende nikawape na mahari ukiangalia mda wa kutoa bado
Hiyo mahari endelea kuongezea pesa ununue kiwanja ujenge
 
Ahsante mkuu ila tatizo lipo hivi mimi sikai nchini na natakiwa niende kazini ameondoka bila utaratibu wowote juu ya malezi ya mtoto mkuu alafu anaweza kurudi nikiwa sipo ndo tatizo
Hawezi kurudi mkuu acha mawazo, kakwambia mtoto anabadili jina na dini. Huenda hata mtoto sio wako
 
Nimepambana nalo gazeti mpaka nimelimaliza

Sjui wanawake wa namna hii wanatakaga nn

nakushauri usimuache,mpe likizo akatulize akili kwao baadae atakuwa sawa
Hao dawa yao huwa ni hii
1. Usimpe talaka
2. Usimpigie simu na wala usimuulize atarudi lini
3. Usimuombe arudi nyumbani
4. Pesa ya matumizi ya mtoto unakuwa unatuma bila hata kuongea nae ila unatumia namba yako wewe mwenyewe na ushahidi wa miamala tunza.
5. Akituma sms usimjibu labda aseme mtoto anaumwa.
 
Baada ya hapo akaanza kutaka kwenda kwa baba mdogo wake (anayekaa karibu), lakini nilikataa kwa sababu tayari aliwahi kukutana naye alipokuwa kwao. Naomba ufafanuzi
Mwezi wa nne alienda pasaka kwao kama familia wakakutana akaulizwa mbona hata hauji nyumbani kwangu na hatukai mbali akamwambia tutakuja sasa alivorudi huku akasema anataka aende kwa baba mdogo nikakataa nikamwambia si mlikuwa wote moshi sasa kuzurura ya nini ni hivo mkuu
 
Kwishaaaaa bardiii enyeweee nimenyiwuti zangu hapa wananitafuta nimeamua kuvunga mazima
 
Point mamen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…