Nifanye nini katika hili?

Mkeo kakuzoea sana

Umeoa mwanamke mwenye akili za kitoto

Unashindwa kusimama kama mwanaume

Ndugu wa mke hawakuelewi ww

Mke wako yupo kwenye husiano jipya na yy ndo kapenda zaidi 😁Hapo anakuona ww unatoa harufu ya maharage maharage flan juzi jioni
 
Wewe umeshakuwa kuishi na Mwanamke inahitaji akili 1.bint au Mwanamke ukianza kumkubalia kila jambo ambalo unaona halina maana sana ujuwe hapo utapandwa kichwani mpaka kifo au kuachana 2. Akikwambia nataka kwenda mahal kila mara ujuwe Kuna kitu ananufaika nacho kama vile dudu jipya so kataa ikilazimisha mwambie nenda halafu Fanya mambo Yako kuwa busy 3. Kumbuka Upendo wa muda mrefu haulazimishwi
 
Huyo ba mdogo mbona anatajwa kila muda wakuondoka hapo hakuna mwanamke mpe anachotaka,Kula maisha Fanya maendeleo utapata mwingine
 
Age ya mkeo ??
Maana kama kuna namna flani uyo Uncle na Aunt yake wanataka kuendesha ndoa yako na mkeo bado anautoto mwingi
 
Age ya mkeo ??
Maana kama kuna namna flani uyo Uncle na Aunt yake wanataka kuendesha ndoa yako na mkeo bado anautoto mwingi
Ni 24 ni kweli wanamuendesha alafu ni kwamba wanamtesa mwanangu
Unafanya kazi mikoani au nje ya Tanzania?
Nje ya tanzania mkuu kichwa kinanuma nawaza nikawe live
 
Nilipoona Tu 25yrs nimeassume umri WA mke wako na huo mwandiko basi,...

Hivi wazazi mbona mmejisahau Sana kwenye hili suala la ndoa za utotoni?,. Eti
Kwenye suala la elimu nadhani hunifikii hata tone ila ndoa za utotoni zipi mkuu suala ni ushauri
 
Kuna kitu hukisemi ulipokua umelewa either Kuna kitu umekisema au umekifanya na kwanini umtanie mzazi mwenzio uko polisi huo ni utoto uliopitiliza anyway nawe Kuna mahali umekosea ujitafakari mdogo wangu
Mkuu ni utani tu mamen alafu hamna utoto kumbuka tumetoka kuzimua man
 
Hebu mkae mkue Kwanza maana hata balehe bado
Hata sijui kama mnakojozana
Muache akae kwao akue na wewe ukue Kwanza muda WA kuona ukifika ndo muanze mapema
Watoto wadogo acheni kukurupukia. Ndoa na mapenzi
Mkuu nakuelewa sana tu ila mkuu kwa aina ya kazi ninayoifanya nitakufa bila ndoa alafu bila mtoto tatizo ni aina ya kazi mkuu wangu
 
Kama mwanaume lazima uwe kiongozi wa familia punguza utoto wewe tayari ni baba maswala ya utani wa kijinga hilo ni tatazo.

Ndio maana hata huyo mwanamke hakueshimu wala kukusikiliza, nadhani pia hamjapishana umri hiyo nayo ni changamoto.

In general umeshindwa kumcontrol huyo mama mtoto sababu haupo mature enough cha msingi hakikisha huyo mtoto unamwangalia na kumpa huduma stahiki kama baba.
 
Mkuu nakuelewa ila kwenye msimamo nakataa unajua kwanini kwasababu aina ya kazi ninayoifanya muda mwingi nakuwa na hasira alafu nashindwaga kujicontrol ahsante kwa ushauri
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kubalababake man nimecheka kinoma sema basi tu alafu siyo kwamba namg'ang'ania sana hapana na hilo la nduguze ni kweli kabisa maana walimwambia kwa aina ya kazi yangu anaenda kuwa mjane siku si nyingi
 
🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…