hii nilikuwa sijui asanteMaji ya sabuni mnayooga yanauwa wale wadudu funza wanashindwa kuvuruga kinyesi kiwe majimaji kipenye kwenda ardhini badili njia ya maji ya bafuni yasiingie humo
Na mikateKuleni viepe kilasiku
Pole sana! Sabuni inaua bacteria wanaoozesha kinyesi na hivyo decomposition ya kinyesi inachukua muda mrefu. Funza hahusiki hapa bwana luhuyeMaji ya sabuni mnayooga yanauwa wale wadudu funza wanashindwa kuvuruga kinyesi kiwe majimaji kipenye kwenda ardhini badili njia ya maji ya bafuni yasiingie humo
Ni shimo 1 tu sina sehemu nyingine ya kuchimba harafu pia vyuma mkuu we mbinu ingine ya kusaidia mana hata nikinyonya kitajaa tena na inaweza kywa haraka zaidiMpunguze kiasi cha chakula mnachokula, Kumbuka “garbage in, garbage out”
Tenganisha karo la mzigo na maji taka, mf maji ya kuoga, kufua nk yawe na njia yake tofauti.
Mkuu nyonya nyonya watakula wapi kama hamtaki makaro yajae waje kufyonza?? Haha
Sasa mbona mwanzo kilichelewa kujaa na safar hii niliponyonya nmejaa fasta kwann hapoMaji ya sabuni mnayooga yanauwa wale wadudu funza wanashindwa kuvuruga kinyesi kiwe majimaji kipenye kwenda ardhini badili njia ya maji ya bafuni yasiingie humo
Hili nilikuwa sikijui kusema kweli ngoja nijioange nichimbe tu karo lingine kwa ajili ya maji ya kuogaPole sana! Sabuni inaua bacteria wanaoozesha kinyesi na hivyo decomposition ya kinyesi inachukua muda mrefu. Funza hahusiki hapa bwana luhuye