HighSchool
Member
- Aug 6, 2022
- 87
- 91
- Thread starter
- #81
Umefukua kaburi. ...
Kuna dots hapo.
Kwanini mkuu
Umefukua kaburi. ...
Kuna dots hapo.
Sio kuolewa tuu hata awe na zile long lasting relationship yaani yuko na mtu miaka mingi achan nae pia.
Kiukweli umepatikana
Hapo pagumu...ngoja nipite tu..[emoji1732][emoji1732][emoji125][emoji125]
Mwambie hawezi tumukia mabwana wawili
Kula sasaMkuu haelewi na hataki kuskia yaan kashasema atanifata popote nikapo kimbilia
Mbona wewe hujawaokoa hao Wake za watu kwenye ndoa zao? Acha Kumponza mwenzio. Hao wanawake Umalaya unawasumbua, faraja inapatikana kwa kucheat Ndoani??Huenda Kuna shida Fulani Kwa mume wake ndiyo maana kakuganda, ila jaribu kukaa naye chini then muhoji na awe epenly, mwambie Mume wako anashida gani au anakunyanyasa au anamichepuko mingi, naamini atakupa majibu tuu, hakuna kilichokosa sababu naamini Kuna kitu kipo Kwa mume wake hivyo anaona Bora atafute solution kwa njia hiyo.
Note: Mimi mwenyewe nakutana Sana na wanawake kama hawa ila huwa nawakataa, mpaka hunihisi ninatatizo mahala Fulani, me nikashajua huyu nimke wa mtu huwa nakosa hata hisia kabisa na huyo mwanamke labda itokee sijui kuwa Mke wamtu. Mkuu muokoe dada wa watu kwenye ndoa ya mateso huenda wewe ni tulizo la Moyo wake.
Hizi stori zako kama zina uwiano flani...Kwanini mkuu
Akija unakula mbususu ama unamwacha aende na utamu. Nikushauri tu ndugu yangu mpendwa, Usimwache aende na utamu. Utakuja kunishukuru. Ila kumwacha muache maana mauaji yamekua mengi. Ila akija kula. HATA SIJUI NIKUSHAURI NINISasa mpaka now mambo yamekuwa magumu coz imefikia kipindi sasa hivi nisipo pokea sim zake anakuja mpaka home kwangu na nishamkataza lakini haelewi wala kuskia chochote.