Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

Chagua akimoja AUMIE YEYE au YAUMIE MARINDA YAKO, simple.
 
Unasikiaga tu furomu nowea mtu hasimamishi kbs kisa alinyolewa mavuzi usiku na sasa anaviashiria vyote vya ushagae?
Ulishawahi kumshuhudia mtu anatapika damu mbichi kwa wingi halafu hospitali ya rufaa hawaoni tatizo?
Kusema mke wa mtu anakupenda sawa tu na kusema kifo kinanipenda acha ujinga.

Sawa mkuu nimekuelewa sana
 
Uhame mji for what?
High School kama High School kweli umekosa Cha kufanya ngoja nikuitie bro wangu Mpwayungu akushauri🤣
 
Wakuu natumaini ni wazima, Mungu anaendelea kutupigania.

Niende moja kwa moja kwenye uzi

Iko hivi nilikutana na dada mmoja kiukweli nilitokea kuvutiwa sana na huyu dada kiukweli sikutaka kupoteza muda na baada ya muda tukaingia kwenye mahusiano mazito sana na kudate

Kiukweli huyu dada alijua kunipenda nasikuwah kumfatilia sana lakini baadae nikaja kugundua kuwa ana mume na nilimbana akakili kuwa kweli lakini hawana mtoto nikamwambia kwanini hakusema ukweli aliniambia aliogopa kunipote na hayuko tayari kiukweli mi wakuu sipendi mambo ya wake za watu na huwa Sitaki kabsa.

Baada ya hapo aliniomba sana nimsameh na kuniomba nisimuache nilimkubalia lakini baada kama ya siku mbili nikaona siwezi nikaanza kukata mawasiliano na hapo ndo alipojua ninampango wa kumuacha
Lakini alikataa katu nisifanye hivyo na kuniomba sana kuwa hawez kuachan nami na hawezi kabsa.

kiukweli nilimpenda pia lakini sasa kitu ambacho sikihitaji ni kumuona anaumia kwasababu yangu yaani namaanisha nisiwe chanzo cha yeye kuumia sasa ninachotaka nimuache bila kumuumiza.

Lakini sihitaji kuendelea nae coz ni mwanamke wa mtu.

Sasa mpaka now mambo yamekuwa magumu coz imefikia kipindi sasa hivi nisipo pokea sim zake anakuja mpaka home kwangu na nishamkataza lakini haelewi wala kuskia chochote.

Yaan wakuu nipeni msaada na mbinu nimkataeje huyu mwanamke yaan sasa amekuwa mpaka kero
Kila ninacho mwambia haelewe natamani kuhamia mji kiukweli ili nipotelee kwengine asinione tena.
Story za Wavulana
 
Dogo kumbe ndo ww utanitambua
Wako mchana linda,
Mume wa mpenzi wako
 
Back
Top Bottom