HighSchool
Member
- Aug 6, 2022
- 87
- 91
- Thread starter
- #21
Na huyu mliishia vipi
Thread 'Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?' Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?
Niliachana nae mkuu
Na huyu mliishia vipi
Thread 'Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?' Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?
Ombi la kura ndugu katika andiko languUliruka ukurasa.
Speakers na Turubai ntatoa bure.
Ombi la kura ndugu katika andiko langu
![]()
SoC02 - Bima ya Afya ya Jamii
BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿 UTANGULIZI; Salamu Watanzania wote. Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya nchi husika. Ili nchi yoyote isonge mbele kiuchumi, inahitaji jamii yenye Afya Bora ili...www.jamiiforums.com
Ombi la kura ndugu katika andiko langu.Niliachana nae mkuu
Ni hatari lakini salama. Mke wako nae ataliwa siku mojaMkuu mke wa mtu lakini nihatari
msugue tu.Mkuu kwamaana ya sjakupata bado
Ni hatari lakini salama. Mke wako nae ataliwa siku moja
Mwambie Unataka kuoa
Ndio vizuri subiria kushikwa ugoni harafu utajua cha kufanya.Wakuu natumaini ni wazima, Mungu anaendelea kutupigania.
Niende moja kwa moja kwenye uzi
Iko hivi nilikutana na dada mmoja kiukweli nilitokea kuvutiwa sana na huyu dada kiukweli sikutaka kupoteza muda na baada ya muda tukaingia kwenye mahusiano mazito sana na kudate
Kiukweli huyu dada alijua kunipenda nasikuwah kumfatilia sana lakini baadae nikaja kugundua kuwa ana mume na nilimbana akakili kuwa kweli lakini hawana mtoto nikamwambia kwanini hakusema ukweli aliniambia aliogopa kunipote na hayuko tayari kiukweli mi wakuu sipendi mambo ya wake za watu na huwa Sitaki kabsa.
Baada ya hapo aliniomba sana nimsameh na kuniomba nisimuache nilimkubalia lakini baada kama ya siku mbili nikaona siwezi nikaanza kukata mawasiliano na hapo ndo alipojua ninampango wa kumuacha
Lakini alikataa katu nisifanye hivyo na kuniomba sana kuwa hawez kuachan nami na hawezi kabsa.
kiukweli nilimpenda pia lakini sasa kitu ambacho sikihitaji ni kumuona anaumia kwasababu yangu yaani namaanisha nisiwe chanzo cha yeye kuumia sasa ninachotaka nimuache bila kumuumiza.
Lakini sihitaji kuendelea nae coz ni mwanamke wa mtu.
Sasa mpaka now mambo yamekuwa magumu coz imefikia kipindi sasa hivi nisipo pokea sim zake anakuja mpaka home kwangu na nishamkataza lakini haelewi wala kuskia chochote.
Yaan wakuu nipeni msaada na mbinu nimkataeje huyu mwanamke yaan sasa amekuwa mpaka kero
Kila ninacho mwambia haelewe natamani kuhamia mji kiukweli ili nipotelee kwengine asinione tena.
Chakata hiyo mbususu bwege wewe. Watu wanazitolea pesa mbususu wewe huduma ni delivery tena bure hadi magetoni unakataa.
msugue tu.
Ndio vizuri subiria kushikwa ugoni harafu utajua cha kufanya.