Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Vumilia tu kijana, atakuwa field.
We piga puli tu kwa sasa mpaka atakaporudi ila jua yeye anazondomolewa tu kiubua.. pole sana mkuu
hizo ndo challenges za nauhusiano ya mbali...
jaribu kubonga nae vizuri pasipo na jaziba
Mwanachuo eeeh.?Mitihani haiishi june kama kawaida.mwaka huu ni mwezi wa saba mr....subir mpange ratiba nyingine tena.lol
pole my dear
huitaji kuwa prof kujua kwamba demu wako anabanjuliwa!
Mapenzi kizunguzungu
Wanawake ni viunbe zaifu sana, anaweza kushwawishika kwa kitu kidoogo sana na akaachia mzigo na siajabu uyo yuko geto kwa jamaa.
Nikimpigia simu muda mwingne hapokei yan ni shida xn
Wee vipi bana, Chukua ndege...Go and Return ticket, weekend unamwibukia au anakuja mwenyewe....mkishindwana hapo ujue yamebaki Manyoya
Ubaya wa DSM ndo huo Jembe yani imezoleka demu akitoka huku atokako lazima akifika kule anase tu hata mim yalishawahi nikuta sasa yako cha mtoto mim nilikuwa nikipiga simu ipo busy masaa yote nikimuliza vip ananiambi natumia Internet kwenye laptop nikasema Tobaaaaaa.... kwakuwa nilishamuelewa sikumpatia shida nikamuacha endelee na Internet yake wakati yuko nyumbani kwao internet alikuwa haijui nikamfundisha ila alipofika huko sasa amekuwa kungwi sasa na wako ni same aplies yuko busy chuo sasa wew fanya yako kama ni wako kweli atard lakin kama si wako lol hata umpandie gari hawezi kurudi kamwe heri pesa yako ukacheze kibati