osama wa jiteute
Member
- Nov 7, 2014
- 5
- 0
Km vp tugee wana jf tudumishe undugu
kujuana na wangapi is your private business.
Your attitude stinks....
Sue me!
Ni mwaka na miezi 2 imepita sasa tangia niachane na ex huyu kiukweli tulipendana sana tuliachana coz wazazi wake walimchaguli mke wa kumuoa coz aliwaheshimu sana wazazi wake hakutaka kupingana nao alifanya vile walivyotaka na huo ndo ulikuwa mwisho we2 kiukweli alitoka kwenye familia yenye uwezo na alikuwa mfanya biashara tofauti na mimi familia yangu ya kawaida 2.
Baada ya yeye kuoa nilikata kabisa mawasiliano naye lakini jana asubuhi nilipokea sms kutoka kwake aliandika hivi(wewe ni mwanake wa pekee kwangu kamwe sitokuja kukusahau pokea pesa izo nimekuingiazia kwenye account yako kiasi cha sh.milioni 4 naomba nikupatia zawadi hiyo kama kumbukumbu yako kwangu tarehe 13 mimi na mke wangu tunaamia Italy kwa heri na kubaki salama) nimebaki njia panda nifanye nini naogopa kuzitumia hizi pesa nimemshilikisha mama yangu kanishauri nizirudishe nahitaji mawazo yenu nifanye nini nimrudishie pesa zake coz now kiuchumi najiweza na sihitaji kabisa mawasiliano naye na naogopa pesa hizi isije ikawa chanzo cha mimi na yeye kuwasiliana.