We kula au kama vipi nitumie mimi kwenye tigo pesa yangu 0656123456
Hahaaaaaa!!!!! umeisajili maalum kwa mpunga au?

ni mwaka na miezi 2 imepita sasa tangia niachane na ex huyu kiukweli 2lipendana sana tuliachana coz wazazi wake walimchaguli mke wa kumuoa coz aliwaheshimu sana wazazi wake hakutaka kupingana nao alifanya vile walivyotaka na huo ndo ulikuwa mwisho we2 kiukweli alitoka kwenye familia yenye uwezo na alikuwa mfanya biashara tofauti na mimi familia yangu ya kawaida 2.na baada ya yeye kuoa nilikata kabisa mawasiliano naye lakini jana asubuhi nilipokea sms kutoka kwake aliandika hivi(wewe ni mwanake wa pekee kwangu kamwe sito kuja kukusahau pokea pesa izo nimekuingiazia kwenye acount yako kiasi cha sh.milioni 4 naomba nikupatia zawadi iyo kama kukumbu yako kwangu taree 13 mimi na mke wangu 2naamia italy kwa heri na ubaki salama) nimebaki njia panda nifanye nn naogopa kuzitumia hizi pesa nimemshilikisha mama yangu kanishauli niziludishe naitaji mawazo yenu nifanye nn nimludishie pesa zake coz now kiuchumi najiweza na siitaji kabisa mawasiliano naye na naogopa pesa hizi isije ikawa chanzo cha mm na yeye kuwasiliana.

Sina mume wala mchumba asante kwa ushauli
abakishe kidogo nipate na mimi 0711/0700-123456
Hahaaaaaa!!!!! umeisajili maalum kwa mpunga au?
Amekuambia ni zawadi, na kama umemsamehe hizo hela zitumie ilakama unakinyongo nae basi zirudishe. Maana utakua umempa ujumbe kua unamchukia.
Sasa keshakuambia kumbukumbu yake kwako unataka nini?
Kuwa mjasiriamali izungushe hiyo hela....
Kujipa mawazo ya bure...
We kula au kama vipi nitumie mimi kwenye tigo pesa yangu 0656123456
Sijajua mbaka saizi wapi kapata namba