Nifanye nini jamani

Nifanye nini jamani

sioni cha kukufanya uwaze mtu kakupa hela kwa nia njema tena anahama sasa tatizo nini fanya biashara na hata kama kiuchumi unajiweza pesa haikosi mahitaji
 
Ni mwaka na miezi 2
imepita sasa tangia niachane na ex huyu kiukweli tulipendana sana
tuliachana coz wazazi wake walimchaguli mke wa kumuoa coz aliwaheshimu
sana wazazi wake hakutaka kupingana nao alifanya vile walivyotaka na huo
ndo ulikuwa mwisho we2 kiukweli alitoka kwenye familia yenye uwezo na
alikuwa mfanya biashara tofauti na mimi familia yangu ya kawaida 2.

Baada ya yeye kuoa nilikata kabisa mawasiliano naye lakini jana asubuhi
nilipokea sms kutoka kwake aliandika hivi(wewe ni mwanake wa pekee
kwangu kamwe sitokuja kukusahau pokea pesa izo nimekuingiazia kwenye
account yako kiasi cha sh.milioni 4 naomba nikupatia zawadi hiyo kama
kumbukumbu yako kwangu tarehe 13 mimi na mke wangu tunaamia Italy kwa
heri na kubaki salama) nimebaki njia panda nifanye nini naogopa
kuzitumia hizi pesa nimemshilikisha mama yangu kanishauri nizirudishe
nahitaji mawazo yenu nifanye nini nimrudishie pesa zake coz now kiuchumi
najiweza na sihitaji kabisa mawasiliano naye na naogopa pesa hizi isije
ikawa chanzo cha mimi na yeye kuwasiliana.

ebu toa ujinga kwani kuna shida gan? kakupa zawad anatambua uwepo wako.kabisa hana nia mbaya
 
dongola ebu nitumie no yake huyo maana una woga wa kitoto.plz
 
Siamini mwanaume anaesema nimechaguliwa mke na wazee wake, huyu alikuwa anasafisha rungu tu. Chukua pesa hizo na move one with your life. Akileta mahusiano tena sijui nini ujue atakuchezea tena...

Tumia Bongo lakini pesa usiache!
 
mhhh milioni 4 kama huzitaki nipe mm nitakulipa mwakani usipeleke maji baharin
 
Kuachwa nae kumekuumiza Sana,pole Sana,chukua mpunga binti,maisha yasonge mbele...
 
yaani hili swala la kupewa pesa unamuuliza madhee....chukua mkwanja huo kajiendeleze kimaisha
 
Back
Top Bottom