Nifanye nini ili niweze kumsahau ex??

Nifanye nini ili niweze kumsahau ex??

naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenz wa zamani ambaye tulipendana sana. huwa tunapigiana cm, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali yey anampz mwingne . Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa????

hakuna kusahau, hio ndo historia yako. Ndio sababu vijana wanaambiwa wasizunguke sana, ni mzigo wa regrets ambao huwezi kuuacha hadi mwisho wa maisha yako. Pamoja na mengine ambayo huwezi kusema.

Acha kurudi nyuma, kata mawasiliano kama ulivyoambiwa, unless kuna kitu muhimu sana kama kualikwa kwenye harusi yake au yako, au mtoto wa kulea, msiba wa alikuwa mpendwa wenu.

All the best.

Talking frm experience.

Unless bado hujakata tamaa unahisi anaweza kumuacha na kurudi kwako, ila ujue utajilaumu/kulaumiwa pia kwa kuvunja mahusiano yao.
 
dawa yake ndogo sana: kunywa mkuyati /muku kna viroba kadhaa kisha nenda kaMbake tena sana , baada ya hpo ukanyee ndoo miaka 30 pale karanga au segerea , hakika mpaka ukija kutoka utakuwa usha msahau maishani mwako milele dumu.

Kweli wewe meinkwmpf
 
vp leo hujamtag yule bwege smart91 sijui? hahahahahaahaha daaah umemvua nguo mwenzako tena sokoni mchana kweupe, maana hua mnajifanya kupendana sana humu JF, dooooh kumbe bhana break hazikabi kwa X hahahaha
 
Kuachana sio vibaya kama mna genuine reason, kuhusu kumsahau nadhani inawezekana, at least partially. kumsahau jumla sahau.
 
Back
Top Bottom