Inaonekana hili tatizo la X- limekua gonjwa sugu sasa! dawa yake put "X=0" and choose "Y = Infinity" kushne..naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenz wa zamani ambaye tulipendana sana. huwa tunapigiana cm, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali yey anampz mwingne . Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa????
hamna njia!
Kama mtu mstarabu jitahidi kuonyesha unaheshimu mahusiano ya watu wengine hata kama wao wenyewe hawaonyeshi kuyaheshimu. Hivyo kama umedhamiria basi nakuomba kata mawasiliano, mwambie hutaki seriously na umwambie kama yeye hayajali basi wewe si mtu wa kuharibia watu mahusiano. Kama mgekuwa mnapendana mungekuwa pamoja mpaka sasa, no matter what circumstances.
naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenz wa zamani ambaye tulipendana sana. huwa tunapigiana cm, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali yey anampz mwingne . Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa????
Kutamani kumsahau ni dalili ya kwamba u stil have filngs kwake,maana hapo hamchati kama marafiki tena sema kila mtu anayake moyoni kuna mmoja anapenda mwenzio na mmoja anawekwa kama substitute,ndo X alikwambia anataman mpenzi wake atoke ili uchat nae??kama bado anakuhtaj sana kwann mliachana?usidanganyike na maneno ya X kua busy na yako na utulie na mpnyz wako
Napitaaa!!!
huyo ni wangap unaachana nae?
mmmh!!! badilisha namba ya simu au kumbuka mabaya yake kipindi upo nae ili ujikute unamchukia.
hah hah haaaa! namim nipo ktk mahusiano mapya! tena wang wa sasa analifaham hilo na tunaish vizur tu! unajua nin ktk mapenz mkiambiana historia zenu hakuna tatizo lakin mkificha lazma kuachana! thx God tunaish vizur kuliko mnavotarajia na mwez wa 10 mwakahu tunafunga ndoa!