Nifanye nini ili niweze kumsahau ex??

Nifanye nini ili niweze kumsahau ex??

Au kanywe sumu tu! utoto mtupu...huyo ni ex ama kidumu!???
na kweli icho kidumu chake sa mtu umeachana nae mawacliano ya nn tena mi tukiachana ujue kila kitu ndo kimeishia apo hamna kukumbukana wala kukumbushiana that is my principal
 
naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenz wa zamani ambaye tulipendana sana. huwa tunapigiana cm, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali yey anampz mwingne . Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa????

sasa hivi unakulaje sumu wakati maisha bado unayataka? Acha upoyoyo! Kata hayo mawasiliano haraka iwezekanavyo la sivyo unajitakia matatizo!
 
kwanza pole pili faham kuwa hauko peke yako kwenye hali hiyo cha msingi kuwa bize kwenye malengo yako ya maisha na usijaribu kukurupuka kutafuta mwingine kwa muda mfupi
 
Njia rahisi ya kusahau matatizo yako japo kwa muda mfupi, vaa viatu vinavyokubana.
 
sasa hivi unakulaje sumu wakati maisha bado unayataka? Acha upoyoyo! Kata hayo mawasiliano haraka iwezekanavyo la sivyo unajitakia matatizo!

nan anywe sum!!?? siwez fanya huo upuuz!
 
kwanza pole pili faham kuwa hauko peke yako kwenye hali hiyo cha msingi kuwa bize kwenye malengo yako ya maisha na usijaribu kukurupuka kutafuta mwingine kwa muda mfupi

aminaaaaa!
 
na kweli icho kidumu chake sa mtu umeachana nae mawacliano ya nn tena mi tukiachana ujue kila kitu ndo kimeishia apo hamna kukumbukana wala kukumbushiana that is my principal

bt bado hujatoa ushaur apo! umeishia kuelezea princpo yako tu!
 
kunywa sumu tena kisa na mkasa!!?? mmeambiwa nataka turudiane???( CHILDISH SOLUTION) mim nataka nimsahau ili niweze kunusuru mahusiano yake aliyonayo sasa 7bu demu wake anlalamika sana! myself wang ni muelewa na yuko aware na hilo! so no problemee kwa upande wang!

Yaani unawasiliana na ex-wako kwa kiwango hicho na mchumba wako anachukulia poa tu!!
Kama siyo boya, jua anakuvutia pumzi.
 
naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenz wa zamani ambaye tulipendana sana. huwa tunapigiana cm, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali yey anampz mwingne . Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa????

Wewe ni ke/me?
Mliachanaje?
Kuachana sio ugomvi!
Kwanini ukate mawasiliano?
Hakuna tatizo mkawa marafiki wa kawaida, ili kushirikishana kwenye social activities!
Epuka kukutana nae ila kuchat na kuongea sioni tatizo!
Akikukumbushia potezea na uwe msikilizaji tuu
Kuwa strong na usionenye feelings, na mkirudiana kuna mawili
Kuwa na mapenz ya kweli au kupotezeana mda tene!

Play it safe & smart ni hilo tuu
 
ni PM namba yake na ku guarantee
hakutafuti ngo'
na ata ku blacklist
 
Kwel guyz that is an issue. Yamenikuta hata mim hayo. Nilikuwa na mkaka m1 hvi anafnya kaz bandarin tulipendana sana kma wapenz, mara wachumba mpka tukafunga ndoa. Tumefanikiwa kupata watoto wawili ni twins wa kike na wa kiume. Tulikuwa na furaha sana ktk ndoa ye2 na watot wetu. Bt huwez amin tumeachanishwa na mama yake mzaz. Wanangu bdo wadogo wana mwaka1 na miez8. Mama mkwe amemlazmisha mwanae anpe talaka, so tumetengana me naish na wanangu mume wangu yupo kwao. Roho inaniuma coz bdo nampenda nayey ananpenda tena sana, najitahd kukata mawasiliano nae nashndwa. Na tukiwasiliana tu lazma tukumbushie enzi zile za honeymoon! Wenyew tunapendana bt wazaz wake hawantaki mie. So nifanyeje ili nimsahau?? Na cjawah kuwa na mwanaume mwngne yey ndo wa kwanza mpk sasa ndo huyohuyo. Help plz
 
point of correction wajamen ebu niliweke vzur hili; sijasema kwamba nataka turudiane!! hapana, ninachosema ni jins ya kumsahau ili kunusuru mahusiano yake mapya mana yeye hawez na ameshindwa kutowacliana namim na hadi inaleta mifarakano kati yake na demu wake mpya! mpaka anajikuta demu wake akitoka tu ndio inakua nafuu kwake kunitafuta ili tuchat! sasa nataka mim niwe solution ktk hilo coz sipend kumfanyia dada wa watu kitu ambacho mim sipend kufanyiwa! thx
Kama mtu mstarabu jitahidi kuonyesha unaheshimu mahusiano ya watu wengine hata kama wao wenyewe hawaonyeshi kuyaheshimu. Hivyo kama umedhamiria basi nakuomba kata mawasiliano, mwambie hutaki seriously na umwambie kama yeye hayajali basi wewe si mtu wa kuharibia watu mahusiano. Kama mgekuwa mnapendana mungekuwa pamoja mpaka sasa, no matter what circumstances.
 
Back
Top Bottom