King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,433
- 88,780
Kumsahau x inabid utafute y.
hayajakukuta
halafu itakusaidia nini? shame kwa kusema hivi
Kumsahau x inabid utafute y.
point of correction wajamen ebu niliweke vzur hili; sijasema kwamba nataka turudiane!! hapana, ninachosema ni jins ya kumsahau ili kunusuru mahusiano yake mapya mana yeye hawez na ameshindwa kutowacliana namim na hadi inaleta mifarakano kati yake na demu wake mpya! mpaka anajikuta demu wake akitoka tu ndio inakua nafuu kwake kunitafuta ili tuchat! sasa nataka mim niwe solution ktk hilo coz sipend kumfanyia dada wa watu kitu ambacho mim sipend kufanyiwa! thx
Au kanywe sumu tu! utoto mtupu...huyo ni ex ama kidumu!???
Wote mna wapenzi wengine.......
Kata mawasiliano,hata huyo mpenz wa sasa akijua mtaachana na pia utaongeza x wa pili wakumuwaza.
Kata mawasiliano na huyo jamaa.
unpalatable
naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenz wa zamani ambaye tulipendana sana. Huwa tunapigiana cm, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali yey anampz mwingne . Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa????
Njia pekee ni kutowasiliana...
Kama yeye ameshindwa wewe si umchunie tu,silioni tatizo hapo kama kweli wewe una nia ya kukata mawasiliano naepoint of correction wajamen ebu niliweke vzur hili; sijasema kwamba nataka turudiane!! hapana, ninachosema ni jins ya kumsahau ili kunusuru mahusiano yake mapya mana yeye hawez na ameshindwa kutowacliana namim na hadi inaleta mifarakano kati yake na demu wake mpya! mpaka anajikuta demu wake akitoka tu ndio inakua nafuu kwake kunitafuta ili tuchat! sasa nataka mim niwe solution ktk hilo coz sipend kumfanyia dada wa watu kitu ambacho mim sipend kufanyiwa! thx
Nop! I was wrong!
Can i cry?
sasa ulimuacha wa nini kama bado unahisi mnapendana?