Nifanye nini Ili nisimpoteze

Miaka 25 una mawazo kama hayo? hata charts zako ni kama za kwangu nilipokuwa na miaka 15! Ok any way hiyo ni mihemko tu dogo janja wala mapenzi menyewe hayapo ivo na hata yakiwa yenyewe mapenzi yanageuka any time na kusahau ngojera zenu hizo
 
Nimecheka sana hizo ahadi zenu. Karibia kila mtu mwanaume kapitia hiyo phase. Ukweli ni kua mwanamke wa utotoni au uliyeanza nae ujana hua hamuoani kutokana na jinsi structure ya maisha ya mafanikio ya mwanaume zilivyo. Kiufupi doho unapoteza muda wako hapo.
 
Sijaanza nae huyo nimekuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti ila huyo ndio amenifanya niwe hvo coz yeye ndio ameanza na mimi
 
Wabongo tunachelewa sana kukomaa kiakili aisee yaani mtu wa miaka 25 na 20 bado mnachati ivi na bila aibu eti unatuwekea charts zenu humu? Yamal tu ni mdogo kwenu wote lakini hajawahi kuanika charting zake kama hivi? Ulishindwa tu kutuomba ushauri hadi uweke charts zenu? Huuu ni ujinga dogo na sijui kama hiyo elimu inakusaidia
 
Miaka 25 una mawazo kama hayo? hata charts zako ni kama za kwangu nilipokuwa na miaka 15! Ok any way hiyo ni mihemko tu dogo janja wala mapenzi menyewe hayapo ivo na hata yakiwa yenyewe mapenzi yanageuka any time na kusahau ngojera zenu hizo
Hahah majungu kibao ,Kuna baadhi ya mabinti inabidi uende nao vile wanavyohitaji hujawahi ona Mzee wa miaka 45 anachat na kitoto Cha miaka 20 sexchatt ,mapenzi hayaangalii experience
 
Kaka humu tunatumia fake ids hivo acha tufanye vile inaona inafaa
 
Hahah majungu kibao ,Kuna baadhi ya mabinti inabidi uende nao vile wanavyohitaji hujawahi ona Mzee wa miaka 45 anachat na kitoto Cha miaka 20 sexchatt ,mapenzi hayaangalii experience
Sio majungu dogo mshamba sana na utakuta hizo sms anazisoma basi hadi usingizi anakosa! Lakini cha ajabu ana 25 years!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…