Nifanye nini Ili nisimpoteze

Jitathmin kijana Kisha uje hapa tena
 
Umemaliza certificate ya kozi gani maana kwa hizi akili sindani kama umefika diploma?? Alafu nahisi yeye ndo kakutoa bikra maana umewehuka dogo! Mwanamke ndo anatakiwa awe na hofu ya kukupoteza sio wewe ndo uwe na hofu ya kumpoteza!
Mimi ndio nimemtoa bikra na ni mtamu balaaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila huyu amezama sana kwangu labda Mimi ndio nilete ujinga baadae maana mwanamke anaweza kukupenda sana na kukuheshimu ila ukibadilika unamvunja moyo kabisa
Acha kujilisha upepo.Hajazama kwako Maezama kwenye IDEA ya Kuzama kwako.Most people are in love with the Idea of Being in Love.Usichanganye.Muache asome.Hata maana ya Upendo hajajua bado.
 
Ila PAULO πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Akiwa binti yangu nakukausha kama nyama za msalato
Huyu Binti kwao ni geti Kali yaan kaka zake wanamlinda sana ila mapenzi yaache tu mkuu maana hata Mimi mwenyew nilivyompata ni vile tu Mungu amepanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…