Nifanye nini biashara yangu ikue?

Nifanye nini biashara yangu ikue?

Hakuna biashara utafanys kwa hiyo pesa zaidi zaidi utakua unacheza cheza tu..

Skia tafuta tafuta ifike milioni moja uongeze na hiyo laki tano ndo uanze habari za biashara hapa...

Kama unabisha jaribu biashara yoyote na hiyo laki tano yako ndo utajua kuwa umekuja kucheza
 
Ndugu Poor Brain mi nampa idea aanzie hapa: Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

- Kupitia hiyo thread utaona wazi kabisa 500,000 inatosha kama mtaji wa biashara.
 
Mkuu haya ebu nipe idea hapo...
Nikupe details gani ili unambie hyo biashara...nipo hapa nakufatilia shusha nondo sio unipe linki tijadili hapa mi na weww ni biashara ipi maana watu wengi wanakuja kuongea braa braa alafu hakuna kitu wanaweka hapa
Mkuu kwanza nisikupe biashara nikufumbue macho uone. Kila pesa inaweza kuwa mtaji, kuwa ya mboga, kuwa ya bia, kuwa pocket money, kuwa ya mafuta ya gari tu, nk. Kuna mtu ana duka la nguo ukipiga hesabu ya nusu ya enga zilizopo dukani unapata ni mtaji wa biashara ya mtu. Kuna mtu aliwahi kunifuata akaniambia mambo yake yameyumba sana hadi amekula mtaji, nikamuuliza mtaji wako ulikua sh ngapi, akasema nilikua nazungusha karanga kilo mbili, kilo moja ni 6000/-

Kwa scenerio hizi mbili utakua umenielewa kuwa 500k ni nyingi kwenye biashara. Inategemea sasa unataka nini. Hapo kwenye kutaka nini, ndio tutajikuta tunasema mtaji huu hautoshi, mtaji huu unatosha. Haya, wewe umemwambi aongeze ifike 1.5M, halafu afanye biashara gani? Maana hata yeye hajasema anataka kufanya nini na hio 500k, na 1.5M haimaanishi atafanya kila biashara.

Vipi bado unataka niende kwenye biashara gani atafanya na hio 500k? Au umeelewa tuishie hapa? Halafu mkuu, vipi bado unaendelea na yule sungle mama wako?😂🙌🏽
 
Mkuu kwanza nisikupe biashara nikufumbue macho uone. Kila pesa inaweza kuwa mtaji, kuwa ya mbiga, kuwa ya bia, kuwa pocket money, nk. Kuna mtu ana duka la nguo ukipiga hesabu ya nusu ya enga zilizopo dukani unapata ni mtaji wa biashara ya mtu. Kuna mtu aliwahi kunifuata akaniambia mambo yake yameyumba sana hadi amekula mtaji, nikamuuliza mtaji wako ulikua sh ngapi, akasema nilikua nazungusha karanga kilo mbili, kilo moja ni 6000/-

Kwa scenerio hizi mbili utakua umenielewa kuwa 500k ni nyingi kwenye biashara. Inategemea sasa unataka nini. Hapo kwenye kutaka nini, ndio tutajikuta tunasema mtaji huu hautoshi, mtaji huu unatosha. Haya, wewe umemwambi aongeze ifike 1.5M, halafu afanye biashara gani? Maana hata yeye hajasema anataka kufanya nini na hio 500k.

Vipi bado unataka niende kwenye biashara gani atafanya na hio 500k? Au umeelewa tuishie hapa? Halafu mkuu, vipi bado unaendelea na yule sungle mama wako?😂🙌🏽
😂😂😂😂😂Umeanza vzr mkuu nimependa the way unatoa full description ... Tuendelee mkuu maana mi pia ni mfanya biashara na naelewa kila kitu ana naelewa vzr tuu..

Mi nataka unitajie bishara ambayo atafanya kwa mtaji wa 500k ili apate basic need mavazi, malazi na kula.

Lakini pia nakupa na location mtu yupo dasalam.. twende kazi ..

Kumbuka kutoa mchanganuo wa biashara husika mkuu

Mkuu naona umegusia sekta yangu ya kula single maza ahahahaha achana kabisa now nimeachana nao na deal na mishangazi maana wana upweke sana
 
Hakuna biashara utafanys kwa hiyo pesa zaidi zaidi utakua unacheza cheza tu..

Skia tafuta tafuta ifike milioni moja uongeze na hiyo laki tano ndo uanze habari za biashara hapa...

Kama unabisha jaribu biashara yoyote na hiyo laki tano yako ndo utajua kuwa umekuja kucheza
Sasa milioni inatosha nini jamani mtaji inatakiwa uanzie mil 10
 
Sasa milioni inatosha nini jamani mtaji inatakiwa uanzie mil 10
Bado kiongozi unaongea nadharia tu na sio uhalisia wa mambo. Iko hivi hakuna mtaji mdogo wala mkubwa na hakuna mtaji uliowahi kutosha. Unaemtazama kama role model wako akiwa peke yake anatamani apate namna ya kutanua bishara yake, ila wewe unatamani upate kama ya kwake. Kiwango cha mtaji huamua ufanye nini, kwa ukubwa gani ila haimaanishi utafanya kila kitu kwa ukubwa uutakao. What is 10M kwa mtu anyetaka kufanya biashara ya magari au real estate?
 
Wewe nasbr unipe mkeka wa biashara
 
Back
Top Bottom