FRANK JOEM
Member
- Jan 2, 2019
- 59
- 42
Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha TSHs 2,000,000/= nilipo kumechangamka kiasi lakini najaribu ku plani biashara nakwama mawazo yenu kwa ushauri kulingana na kiasi changu kama mtaji.!