Nifanye biashara gani

FRANK JOEM

Member
Jan 2, 2019
59
42
Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha TSHs 2,000,000/= nilipo kumechangamka kiasi lakini najaribu ku plani biashara nakwama mawazo yenu kwa ushauri kulingana na kiasi changu kama mtaji.!
 
Uko eneo lililo changamka, sawa, je hao waliopachangamsha ni wanafunzi? ni wagonjwa? ni abiria? ni wapita njia? au ni wajeda?
hapo kila kundi lina mahitaji yake ...mwisho uko mkoa au dar?
Tuanzie hapo.
mkubwa wangu niko mkoani na ni wirayani kilicho changamsha ni makazi ya watu ,wanafunzi wa chuo na sec pia pana barabra kubwa ya kuunganisha mikoa na mkoa
 
Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha TSHs 2,000,000/= nilipo kumechangamka kiasi lakini najaribu ku plani biashara nakwama mawazo yenu kwa ushauri kulingana na kiasi changu kama mtaji.!
Lima hoho au tikiti
 
Fanya biashara kulingana na mahitaji ya wanaokuzunguka..

Chunguza ni kitu gani watu wanahitaji na hakipatikani maeneo ya karibu than wawekee

Kama ni duka la rejareja usikariri kua mteja atafuata sukari na majani (vitu viliyozoeleka) weka na vitu vidogo dogo lakin vyenye faida kubwa Mf: vyombo vidogo dogo vya manyumbani..midoli ya watoto,chupi,boxer nk..

Usiruhusu pesa ikupite ata kama mtaji ni mdogo weka ata pc moja moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assane sana wazo zuri ambalo nilikua sijafikilia
 
Mkuu unaweza anzisha huduma ya vyakula ama ukaanza na kutengeneza chips. Ila Kikubwa angalia Kwanza mahji yao
 
Kama uko karibu na chuo inaweza kuwa faida kwako ikiwa chuo kitakua n kikubwa kwa maana ya wanafunzi wengi. Fungua Ka-restaurant kawe na quality fulani ambayo unajua utawateka wanafunzi kuanzia wa Sekondar na walimu wao hadi wale wa chuo, usisahau kuwa na vitu kama Min juice bar, hapa utawateka wafanye kama meeting point yao na wewe ukiwachujua pole pole unaweza kuhamishia pia DSTV yako hapo wakija kutazama mechi watakuungisha tu.

kama hupendi mambo ya vyakula unaweza kuibuka DAR ukamate vinguo vingi vya wadada na vijiatu ukirudi unawaachuuzia pole pole(wanaume tutanunua tu)

pia unaweza kuchanga changa mtaji then ujenge viunit kama hostel apo utakua na uhakika wa kuwalamba sawa sawa.
 
OK assante sana wazo nene
 
Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha TSHs 2,000,000/= nilipo kumechangamka kiasi lakini najaribu ku plani biashara nakwama mawazo yenu kwa ushauri kulingana na kiasi changu kama mtaji.!
lima vitunguu kwa iyo hela yako ROI itakuwa 7M kilimo cha kwenye makaratasi lakini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom