nifanye biashara gani mtwara?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nifanye biashara gani mtwara?!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by tinya, Mar 11, 2012.

 1. t

  tinya Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Habari zenu wapendwa!

  naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar?

  Naomba mnisaidie plz?
   
 2. Mani H

  Mani H Senior Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu jaribu kutoa maelezo ya kina, kwa maelezo yako watu watashindwa wakushauri nini, labda nikuulize unakiasi gani ? na unafanya kazi gani?
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Korosho inalipa, waone Bodi ya Korosho, nunua bangua na kuuza
   
Loading...