mi nimetokea kuwa na negative attitude towards girls baada ya girlfriend wangu wa kwanza kuamua kuolewa sababu mi bado nasoma na niko mbali nae.nikaamua kuwa na mwingine nae nkagundua ana bwana mwingine nikaamua kuachana nao kabisa.
sa hivi ndo nakaribia kumaliza masomo yangu na kuna Dada nimempenda sana, lakin napata ugumu kumtokea kwasababu 1.atakuwa kama wa pili? 2. nikimaliza ntamuacha chuo je atonitenda?
plz nisaidie
sa hivi ndo nakaribia kumaliza masomo yangu na kuna Dada nimempenda sana, lakin napata ugumu kumtokea kwasababu 1.atakuwa kama wa pili? 2. nikimaliza ntamuacha chuo je atonitenda?
plz nisaidie