Eng mwang'oko
Member
- Apr 14, 2013
- 40
- 8
Nna mke,nshamtolea mahari,we have one kid....i cheated her with a gar ambaye ni Mtoto wa dada ake si kama am proud vile naongea hapana ila kutokana na situation I jst found myself with that gar and we did,mke wangu akanishtukia with evidence,nkakubal,akaitwa that gar akabanwa akakubali,....isu now mke wangu akanisamehe kirahisi sana kiasi siamini with the situations....what am I suppose yo do to regain her trust back nami kuwa katika hari ya kawaida coZ now naishi kwa wasiwasi sanaa???????