Nifanyaje ili tarehe 28 ifike haraka?

Nifanyaje ili tarehe 28 ifike haraka?

Hakuna siku kama ya Leo muda unaenda taratibu kama konokono.

Yani kesho tu inachukua karne kufika.

Mwamba britanicca katuahidi atasimamisha taifa kwa kutuletea habari Kali na nyeti.

Yani tunavyopenda umbea hatuwezi subiri.

Hapa nilipo najilazimisha kulala ili masaa yaende faster lakini waapii.

Naombeni msaada nifanyeje ili kesho ifike haraka?

Kweli nimeamini umbea ni uraibu.
Namna ya kuukimbiza muda!Piga busu la Kenge!
 
Tumeshachoka na haya mabomu wanayoahidi kuyadondosha, halafu siku ikifika ukisikia bomu lenyewe unabaki kujishangaa kwa nini ulipoteza muda kulisubiria. Bora niwe busy na kuuza zangu karanga hapa niokote mia mia watoto waende haja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom