Nifahamishe Wapi live band siku za kawaida hasa alihamisi?

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,465
Wanabodi ninamgeni wangu anataka kwenda mziki lakini live band je siku za kawaida kwa hapa Dar niwapi pazuri kunapigwa mziki wa live kama ya kina kingkiki nakadharika?Nijulisheni tafadhali.
 
Mafuta house 4th floor, savana lounge. Au mbalamwezi.
 
Back
Top Bottom